Msemaji Mkuu wa serikali atoa uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu Ajali ya ndege Bukoba

pamoja na kupata promosheni lakini kuwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ikulu ni kitu kikubwa kuliko kukaa pale kwenye zile ofisi karibu mnara wa askari.
Mkuu bandeko andeko, kwanza, mkuu wa Idara ni mkubwa kuliko mkuu wa kitengo!. Pili Ofisi za Idara ya Habari Maelezo ziliisha hama pale Samora, karibu na picha ya Askari, kitambo!. Makao Makuu ni Dodoma, ofisi ndogo ni pale JNICC.
P
 
Kwa navyoelewa bongo, hio ndio biashara imeisha
 
Huyu si walimuondoa Ikulu, sasa baraza linasemewa na msemaji wa Ikulu au wa serikali kwa ujumla, hiki kikao ni cha Ikulu nilidhani msemaji wa Ikulu ndio angejitokeza
Watanzania bado tunahitaji civic education kuhusu uendeshaji wa nchi, Bunge, Mahakama na Serikali, kupitia kipindi maalum cha "kwa Maslahi ya Taifa", kinachorushwa na ITV, TBC, Star TV, Channel Ten na Azam TV, nimejitolea kusaidia hili.

Kikao cha BLM sio kikao cha Ikulu, hiki ndio kikao kikuu cha serikali, hivyo kinasemewa na Msemaji Mkuu wa Serikali kwa maelekezo ya Katibu wa Baraza la Mawaziri. Msemaji Mkuu wa Serikali na Mwanasheria Mkuu ni ma ex official wa cabinet meeting, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu haingii cabinet!.
P
 
Huu ni UONGO MKUBWA, wewe umeiona weather report ya Bukoba airport ya wakati ule wa ajali?,kuwa mwangalifu mkuu hapa kuna binadamu wenzetu wamepoteza maisha
 
Nimemkumbuka Ile siku ya royal Tour kule New York akitangaza mubashara
 
Inasikitisha sana.
 
"Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa.
ushahidi wote ulimalizwa na kijana Majaliwa, cha msingi ni utekelezaji tu wa kuwajimbishana nani alizembea wapi hadi tukapoteza ndugu zetu.
 
Bibi kachemka vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…