Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea.

IMG-20240604-WA0040.jpg


PIA SOMA
- VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
 
Kwa nini ujenzi wa reli umesimama?
 
Zamani Nilijua Msemaji Anatokana Na Uwezo, Uchapakazi
Kumbe Connection Tupu... .Oops
 
Hivi sasa hivi hii Bendera ya EAC ni lazima iwepo kwenye shughuli na majengo ya kiserikali?
 
Sasa hii uliyoleta hapa ni taarifa au ni habari? Mleta mada ulikuwa na haraka gani kukimbilia kuanzisha uzi usiokuwa na maelezo yoyote
Cc: Ojuolegbha
 
#NUKUU: Ufafanuzi wa Mkopo wa Dola Bilioni 2.5 ambao Tanzania imepata kutoka Korea.

Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam, Tanzania.
Juni 4, 2024.

FB_IMG_1717519003265.jpg
IMG-20240604-WA0073.jpg
IMG-20240604-WA0071.jpg
IMG-20240604-WA0067.jpg
IMG-20240604-WA0069.jpg
IMG-20240604-WA0065.jpg
IMG-20240604-WA0063.jpg
IMG-20240604-WA0059.jpg
IMG-20240604-WA0061.jpg
 
Haya maandishi/makaratasi, sio ya kuamini.

PhD za heshima ni za kuogopa kuliko ukoma.
 
Viongozi ni panya road waliovishwa suti na sisi walipa kodi tunawapigia salute. So sad
 
Niliona wikiendi Maulidi Kitenge alikuwa anaenda kutembelea Serengeti na Serengeti ni sehemu ya mbuga za wanyama sijui nilitaka kusema nini😁

IMG_20240604_195550.jpg
 
Hivi ukiwa na mwanamke ambe nyumbani kuna kila kitu lakini kila siku unakuta taarifa za mikopo ya vikobo na Saccos asiyokushirikisha ila mali zako ndo zinawekwa dhamana na unawajibika kulipa wewe, Utachukua hatua gani dhidi yake?
 
Back
Top Bottom