Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wampe hata uwanja wa AmaniZanzibar Maendeleo tayari Bandari zao amepewa mkaburu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wampe hata uwanja wa AmaniZanzibar Maendeleo tayari Bandari zao amepewa mkaburu
Ni katiba na sheria ndo zinatoa uhuru na mipaka yake ndugu msigwa. Siyo raisGerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi yao, wanajitahidi kupotosha, tena baadhi yao tunawafahamu, ni wajuzi wa sheria, na wanajuwa wazi wanachokisema wanakipotosha...".
Uwekezaji huu wa DP WORLD kuna watu unawagusa,kuna watu hawataki Uwekezaji huu kwa sababu udhaifu huo uliopo Bandarini kwa sasa unawapa faida, watu wanapitisha mizigo bila kulipa kodi, watu hawa ndio wanapinga Uwekezaji huu kwa sababu watadhibitiwa kuiba
Kwamba rais ndiye ibara ya 18 ya Katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania? Au Mimi ndiye sijaelewa?Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi yao, wanajitahidi kupotosha, tena baadhi yao tunawafahamu, ni wajuzi wa sheria, na wanajuwa wazi wanachokisema wanakipotosha...".
Uwekezaji huu wa DP WORLD kuna watu unawagusa,kuna watu hawataki Uwekezaji huu kwa sababu udhaifu huo uliopo Bandarini kwa sasa unawapa faida, watu wanapitisha mizigo bila kulipa kodi, watu hawa ndio wanapinga Uwekezaji huu kwa sababu watadhibitiwa kuiba
Uwanja wa Amani tayari anao Mturuki anauboreshaWampe hata uwanja wa Amani
Tatizo lipo kubwaAmesema rais ndiye aliyetoa uhuru wa kujieleza??
Magufuli aliuza bandari ipi we pimbiMbona wakati wa dikteta magufuli mliufyata?
Siyo sahihi.Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi yao, wanajitahidi kupotosha, tena baadhi yao tunawafahamu, ni wajuzi wa sheria, na wanajuwa wazi wanachokisema wanakipotosha...".
Uwekezaji huu wa DP WORLD kuna watu unawagusa,kuna watu hawataki Uwekezaji huu kwa sababu udhaifu huo uliopo Bandarini kwa sasa unawapa faida, watu wanapitisha mizigo bila kulipa kodi, watu hawa ndio wanapinga Uwekezaji huu kwa sababu watadhibitiwa kuiba
DAH! Kuwa na heshima hata kidogo.Msigwa na Samia wote ni wajinga
Msigwa ni mpuuzi kwa kusema
kwamba hii nchi licha ya kuwa na jeshi la polisi, TAKUKURU, na mahakama, lakini hizo idara zote ni wajinga,
Hivi ile ndoto yake ya 2025 bado anayo? Kuna kundi fulani ndani ya Serikali yake limemtega. Wakati wowote linatimkia kusikojulikana na kumuachia CCM yake.Samia na Msigwa ni majuha kabisa!
Uhuru wa kujieleza siyo hisani ya Samia.
Haya mamtu ni bure kabisa.
Ni katiba ila pengine wasimamizi wa katiba waweza kukataza au kuacha katiba ifanye kazi bila kuvunja sheriaMi nlidhani Uhuru wa kutoa maoni na kujieleza umeanishwa kwenye katiba...kumbe ni kwa udhamini mkubwa wa Mama. Basi sawa.
Rais wa nchi hii kila kitu ndo anaruhusu!Amesema rais ndiye aliyetoa uhuru wa kujieleza??
Kwani nani alisema rais ana mamlaka ya kuruhusu au kutoruhusu mtu yeyote kuleta mtafaruku?Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...