Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

Tukisema ni Mbumbumbu wanasema tunawatukana. Msemaji wa serikali hajui Uhuru wa kuongea unapatikana wapi?
 
Hivi una hata muda wa japo kutabasam tu!
Mana bandari imekufanya kuwa stressed utadhani unahusika nayo
Hakuna asiyehusika na bandari, bandari ni kama hewa tuvutayo inamgusa kila mtu labda tu kama haujui maana na umuhimu wa bandari, uwe mjini au kijijini bandari inakuhusu.
 
Yawezeka ni robot ndio imeandika, haiwezekani msemaji wa ikulu akawa na akili ya namna hii.
 
Amesema rais ndiye aliyetoa uhuru wa kujieleza??
Hujuwi kusoma au ni ngumu kuingia? Rudia kwa sauti:

"Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi..."
 
Hata sisi wananchi hatujamchagua Huyo wanayedai ni rais.Na hatujamtuma kuuza Mali za Tanganyika pekee na kuacha za nyumbani kwao Zanzibar wakati bandari ni jambo la muungano.
kweli kabisa, subiri 2025. Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Msigwa na Samia wote ni wajinga wanaozidisha huo wanaouita mgongano.

Samia licha ya kuruhusu watu wakosoe lakini amegoma kuwajibu, au anapojibu anatoa majibu ya dharau, hii maana yake Samia nae hajielewi, ukiruhusu watu wakosoe, kuwa tayari kuwajibu kwa staha, lakini kinyume chake utavuna unachopanda.

Msigwa ni mpuuzi kwa kusema wanaolalamikia mkataba wa bandari waliopewa waarabu milele ni wale waliokuwa wakivuna kule bandarini, kwamba hii nchi licha ya kuwa na jeshi la polisi, TAKUKURU, na mahakama, lakini hizo idara zote ni wajinga, zilizozidiwa ujanja na wajanja waliokuwa wakiiba bandarini!.
Kuna nini cha Samia kuwajibu, tupo sisi saizi yenu mitandaoni hapa.

Una swali gani hujapata majibu?

Au unaweza kwwnda mahakamani kumshitaki au deal na sisi hapa JF, "it takes two to tango".
 
Mi nlidhani Uhuru wa kutoa maoni na kujieleza umeanishwa kwenye katiba...kumbe ni kwa udhamini mkubwa wa Mama. Basi sawa.
Kwa katiba tuliyonayo rais anaweza kuamua watanzania wote ikifika saa 12 jioni wote tuwe tumelala. Hii ndio maana yake hivyo usishangae sana.
 
Msigwa na Samia wote ni wajinga wanaozidisha huo wanaouita mgongano.

Samia licha ya kuruhusu watu wakosoe lakini amegoma kuwajibu, au anapojibu anatoa majibu ya dharau, hii maana yake Samia nae hajielewi, ukiruhusu watu wakosoe, kuwa tayari kuwajibu kwa staha, lakini kinyume chake utavuna unachopanda.

Msigwa ni mpuuzi kwa kusema wanaolalamikia mkataba wa bandari waliopewa waarabu milele ni wale waliokuwa wakivuna kule bandarini, kwamba hii nchi licha ya kuwa na jeshi la polisi, TAKUKURU, na mahakama, lakini hizo idara zote ni wajinga, zilizozidiwa ujanja na wajanja waliokuwa wakiiba bandarini!.
Mpuuzi mpuuze Samia hawezi kupoteza muda kujibu wapumbavu mambo ya kufanya ni mengi. Kama mlikuwa mna mjaribu basi jibu mmelipata katafuteni kazi nyingine za kufanya.
 
Back
Top Bottom