MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Sasa kwa hivi ulivyosema hapa si utafanya wakija waanze na wewe ili waone kama watazimia kweli kwa hayo mambo yenu na huyo mtoto wa mama mkwe wako? LolKwangu wasijaribu kabisa!
Wakijichanganya wakasoma za kwangu na mtoto wa mama mkwe watakufa kabisa sio kuzimia tu!
Mtoto wa mama mkwe anapomuongelea mtoto wa mama mkwe!Sasa kwa hivi ulivyosema hapa si utafanya wakija waanze na wewe ili waone kama watazimia kweli kwa hayo mambo yenu na huyo mtoto wa mama mkwe wako? Lol
Ova
Mamndenyi umestaafu nimekufuatloa toka 2011 kweli kitambo sana.Huku ni kwa kwenda polepole hasa sie wastaafu