Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

hata kama macho huna basi akili piahuoni hao ni waizraeli hata sura zao au ni mahaba yamezidi ama hiyo lugha wanayoobgea yahudi anakijua vizuri sana maana wapo pamoja miaka nenda rudi wewe unakifahamu kiingereza upo tz hata uingereza hujafika ijekuwa wao muda wote wapo hapo mahaba bhana unatabu sana m.barikiwa
shida ni kwamba, HAMAS wenyewe wameshakubali ni wao walifanya hilo tukio, ila wewe hamas na gaidi wa mbagala unayegongea ugali na kipande cha samaki huna mbele wala nyuma unabisha. wao wamekiri na kusema raia wa kigeni wote waliowadhuru ni onyo kwamba anayeshirikiana na wazayuni anaunga mkono uwepo wao pale hivyo wana haki kumdhuru pia. waambie na wenzako wote huko kwenye majengo yenu wajue hili.
 
Hivi mtanzania ambaye hana uraia wa nchi nyingine akiuwawa au kutekwa nchi ya ugenini nani anatakiwa kuwajibika kwa kuzembea ulinzi wake?
 
Habari wana jukwaa la kimataifa. Hii ndio habari iliyotangazwa leo saa 2 usiku katika taarifa ya habari Azam. Msemaji wa serikali ya israeli ameutangazia umma wa watanzania kuwa mwili wa Joshua mollel aliyetekwa na kundi la Hamas tarehe 7.10.2023 huko Israeli ulichukuliwa mateka na kundi hilo na kwamba kwa sasa eti mwili huo upo Gaza mikononi mwa Hamas.

Nina maswali machache sana ya kuuliza kwasasa.

1. Hamas waliwazaje kuuteka mwili wa mtu ambaye tayari wameshamuua ndani ya israeli na kumpeleka Gaza huyu mtu ana umuhimu gani sana kwenye hii vita? Tuzingatie waliuliwa 1400 siku hiyo

2. Tunavyofahamu mpaka sasa Gaza hakuna umeme , hospitali zimebomolewa je Hamas watakua wameuweka wapi mwili wa ndugu yetu ikizingatiwa leo ni siku zaidi ya 70 tangu auwawe? Je mwili bado upo?

3.kwanini Hamas katika taarifa zao za mateka waliokufa wakishikiliwa hawajamtaja Joshua?

Jamani naomba ndugu zangu nauliza haya maswali kwa nia njema tu sijaleta vita.najua watanzania hatupendi kuulizwa maswali lakini tujitahidi kufikiria mambo kwa kina hasa tunapokuwa ni watu wa kupokea taarifa kutoka nje.

Karibuni kwa mjadala wa kistaarabu. Moderators na Maxence Melo mkuu naomba wasifute uzi wangu tujadili tu mbona sijavunja sheria yeyote?

Ahsante.
Na wewe tukulize:
Haukuona video Hao Makamasi wakimuua Joshua?
Sasa wewe unafikiri Israel walimchukua huyo Joshua? Ili iweje
Kwani mwili wa Joshua ni wa kwanza kuripotiwa kupelekwa Gaza?
Unataka kutuambia kuwa haukuona yule msichana wa Kiisreli waliyemuua na kisha kumuweka kwenye Pick-up yao na alipofika Gaza wananchi wao kuanza kuu abuse huo mwili?
Wewe haujui kuwa hao watu wa Gaza wanamtumikia kaallah ambaye ndiye shetani mwenyewe.
Wewe unafikiri ni kwanini nchi zote za kiarabu hazitaki kuwakaribisha hao watu wa Gaza kama wakimbizi?
Tunasikia kuna shirika moja hapa TZ lilipeleka misaada huko Gaza, omba kazi uka voluntie huko ili uishi kidogo na hili jina lako la kikiristo ujionee mwenyewe, na tena ni Mwafrika mweusi. Ndiyo utajua hujui kuhusu hao wana wa shetani

 
Back
Top Bottom