Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mema kwenye kidimbwi chenye nyasi na vyura?Mbona Vitu Vidogo Sana Hivi Karibu Jangwani Ule Mema Ya Duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mema kwenye kidimbwi chenye nyasi na vyura?Mbona Vitu Vidogo Sana Hivi Karibu Jangwani Ule Mema Ya Duniani.
Tuache bana... 😆Mbona Vitu Vidogo Sana Hivi Karibu Jangwani Ule Mema Ya Duniani.
Mlivyo na roho mbaya!Tutapiga watakaotokea mbele hadi waombe pooh!
Bila kuwatupia majini wachezaji wa timu pinzani uto mngekuwa mnashika mkia.
Hata yale magoli matano dhidi ya simba ukitafakari kwa makini utagundua kwamba wachezaji wa simba walirushiwa majini ya kuwafanya washindwe kukimbia uwanjani.
MAJINI FC
Mema kwenye kidimbwi chenye nyasi na vyura?
Tuache bana... [emoji38]
Nalemaga.😂😂😂Umeanza Kuharibu Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nalemaga.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika kama MAJINI FC aka UTOPOLO FCVisanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Ni hayo tu
Kwa imani yetu Majini nayo ni maamini ya Dini ya Allah. Nyie mnayafukuza?Visanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Ni hayo tu
Majini ni viumbe roho na hayako motoni! Ni kweli kabisa kuna majini wema na wabaya hivyo msemaji yuko sahihi sanaVisanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Ni hayo tu
[emoji419][emoji375]Swali moja ndiyo lina maelezo mengi hivyo? Hyo ni "leading question"!Unataka ajibu unachowaza?
Wacheni kurukaruka kama popcorn,toeni majini yenu mliyomtupia Mayele.Visanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Swali la kujiuliza je msemaji wa Simba anatumia majini wazuri, kama kama msemaji anaishi kwa itikadi hizo za kuamini kwenye majini wazuri na vipi je timu nzima ya Simba.
Hakika mpira wetu una safari ndefu sana kwanini tumetokea kuishi na kuamini sana kwenye uchawi? Ingekua majini/ uchawi unacheza mpira hakika kuna nchi wangebeba makombe yote makubwa tunayoyafahamu.
Hii ni shida sana kwa wachezaji wa kiafrika hawataki kuamini katika mazoezi bali kwenye ushirikina nakumbuka Emanuel Adebayor alipata kusema mama yake mzazi anamloga ili asifunge kwa maisha ya wachezaji wa kiafrika hii ni kawaida sana.
Mchezaji anashinda kidimbwi kesho na kesho kutwa vikimshinda anakimbilia kwa waganga wa kienyeji hivi wewe ukienda kwa mganga wa kienyeji hata kama ni kikohozi cha kutumia Mucolyn tu atakwambia umetupiwa jibu.
Nlitegemea msemaji wa Simba aje na kauli za kupinga huu upumbavu ili yeye anajinadi eti wamenunua kesi ya Mayele na kuna majini wazuri na wabaya.
My country people tuna safari ndefu sana ya kutoka hapa tulipo.
Ni hayo tu
mental kama mentalMajini ni viumbe roho na hayako motoni! Ni kweli kabisa kuna majini wema na wabaya hivyo msemaji yuko sahihi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule alijiropokea tu ili aonekane yupo. Ndo shida ya kudandia ugomvi wa jirani msameheni tu.Visanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Swali la kujiuliza je msemaji wa Simba anatumia majini wazuri, kama kama msemaji anaishi kwa itikadi hizo za kuamini kwenye majini wazuri na vipi je timu nzima ya Simba.
Hakika mpira wetu una safari ndefu sana kwanini tumetokea kuishi na kuamini sana kwenye uchawi? Ingekua majini/ uchawi unacheza mpira hakika kuna nchi wangebeba makombe yote makubwa tunayoyafahamu.
Hii ni shida sana kwa wachezaji wa kiafrika hawataki kuamini katika mazoezi bali kwenye ushirikina nakumbuka Emanuel Adebayor alipata kusema mama yake mzazi anamloga ili asifunge kwa maisha ya wachezaji wa kiafrika hii ni kawaida sana.
Mchezaji anashinda kidimbwi kesho na kesho kutwa vikimshinda anakimbilia kwa waganga wa kienyeji hivi wewe ukienda kwa mganga wa kienyeji hata kama ni kikohozi cha kutumia Mucolyn tu atakwambia umetupiwa jibu.
Nlitegemea msemaji wa Simba aje na kauli za kupinga huu upumbavu ili yeye anajinadi eti wamenunua kesi ya Mayele na kuna majini wazuri na wabaya.
My country people tuna safari ndefu sana ya kutoka hapa tulipo.
Ni hayo tu
HahahahaaaMchezo wa mpira hauna tofauti na wachimbaji wadogo wadogo, mara ya kwanza naanza kuchimba nilipata watenda kazi aisee Hawa majamaa bila ya kuwaletea mganga na kuajiri 'mchoma dawa' hawazami Shimoni KAMWE, utachimba mwenyewe
Endeleeni hivyo hivyo na ujinga kila mkifungwa msingizie majiniBila kuwatupia majini wachezaji wa timu pinzani uto mngekuwa mnashika mkia.
Hata yale magoli matano dhidi ya simba ukitafakari kwa makini utagundua kwamba wachezaji wa simba walirushiwa majini ya kuwafanya washindwe kukimbia uwanjani.
MAJINI FC