mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Na Mzee Mpili. Ametulia Sana siku baada ya kupata ' kitengo'.Ukimuangalia Manara anafaa kushika vibuyu vinenevinene.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mzee Mpili. Ametulia Sana siku baada ya kupata ' kitengo'.Ukimuangalia Manara anafaa kushika vibuyu vinenevinene.
Watatwangana migumi kugombea maslahi ya majini.Hawaaminiki.Na Mzee Mpili. Ametulia Sana siku baada ya kupata ' kitengo'.
waswahili ni watu wabaya sana wamemuingiza cha kike mayele,naye kaingia atake asitake atachuchumaa umbwa yuleVisanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa Motoni.
Swali la kujiuliza je msemaji wa Simba anatumia majini wazuri, kama kama msemaji anaishi kwa itikadi hizo za kuamini kwenye majini wazuri na vipi je timu nzima ya Simba.
Hakika mpira wetu una safari ndefu sana kwanini tumetokea kuishi na kuamini sana kwenye uchawi? Ingekua majini/ uchawi unacheza mpira hakika kuna nchi wangebeba makombe yote makubwa tunayoyafahamu.
Hii ni shida sana kwa wachezaji wa kiafrika hawataki kuamini katika mazoezi bali kwenye ushirikina nakumbuka Emanuel Adebayor alipata kusema mama yake mzazi anamloga ili asifunge kwa maisha ya wachezaji wa kiafrika hii ni kawaida sana.
Mchezaji anashinda kidimbwi kesho na kesho kutwa vikimshinda anakimbilia kwa waganga wa kienyeji hivi wewe ukienda kwa mganga wa kienyeji hata kama ni kikohozi cha kutumia Mucolyn tu atakwambia umetupiwa jibu.
Nlitegemea msemaji wa Simba aje na kauli za kupinga huu upumbavu ili yeye anajinadi eti wamenunua kesi ya Mayele na kuna majini wazuri na wabaya.
My country people tuna safari ndefu sana ya kutoka hapa tulipo.
Ni hayo tu
Majini Maimuna hatuyataki...Hatuachi Mtu.
Habari inayotembea ni majini ya viongozi na washabiki wa Yanga wanayomtumia Mayele. Hiyo ya msemaji wa Simba haina mashiko, isituvurugie mastory ya mjini kwa sasa 😁😁😁Swali la kujiuliza je msemaji wa Simba anatumia majini wazuri, kama kama msemaji anaishi kwa itikadi hizo za kuamini kwenye majini wazuri na vipi je timu nzima ya Simba.
Majini Maimuna hatuyataki...