Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Kuna historia ya Israel kuua any Palestinian bila kuchokozwa? Remind me brotherOctober 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.
Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.
1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?
2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.
Blaming is easy but wear their shoe!
You play stupid games you win stupid prizes!October 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.
Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.
1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?
2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.
Blaming is easy but wear their shoe!
Hahahaaa Iran hana lolote.Safari hii jamaa wameamua kutuchapa kikweli kweli. Iran mpo wapi jamani mnaacha tunagongwa namna hii? Tunawalilia Iran ndugu zetuni mmetulia buyu kama hamwoni?
Hali imekuwa tete sana. Huku mashimoni tunakokificha tunaishi kama panya.
Kosa lao ni kuvamia tu au kuna lingine?
View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl
Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.
Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.
Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!
Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.
Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.
Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.
Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.
Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:
1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote
Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Unajua umuhimu wa kuwauwa makamanda na viongozi kwenye medani ya kivita? Hezbollah leo hii iko hivyo kama ilivyo sababu ya viongozi wao na makamanda wao kupukutishwa. Kuuwawa Kwa makamanda na kuna shusha molari ya wapiganaji na huo ndo ukweli. LABDA KAMA KUWE NA MOLARI INAYOTOKANA NA AHADI YA KIPUMBAVU YA MITO YA POMBE NA NGONO NA MABIRA 72Kwani viongozi wa Hamas wameanza kuuuliwa leo ? Nini kimebadilika ? Malengo ya IDF yamefikiwa ?
Hayo masharti yalikuwepo kabla ya wao kuanzisha vita na Israel October 2023?
Tatizo la humu dini first...wanashindwa kujua na kuyaona mapungufu/ ujinga wa hamas kabsa. Misri sio wajinga kujenga ukutaKwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?
Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?
Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.
Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!
Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.
Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Ndio waue wenzao octorber 7.....?? Kwanini mnateka watu wasio na hatia?? Rudisheni mateka haya bakini nao sasa tuone mnapata faida gani zaidi ya kutoka roho...........unabaki na maiti yanini wewe mganga au chizi?? Mtu kashakufa unabaki naye wa nini??? Kuna yule mtanzania pia maiti yake wanayo mpaka leo licha baba na mama yake kuiomba aje kuizika nyumbani......wapigwe wachapwe wauliwe kama ambavyo waliua wale watanzania bila huruma ...... . Maana wanataka dunia iwaonee huruma wao bila wao wenyewe kujionea huruma RUDISHENI MAITI YA MTANZANIA BILA MASHARTI YEYOTE MAANA HAUSIKI NA MADHILA YENU WALA SHIDA ZENU
Hao islamists acha wauwawe tu wanajiona wao ndio wana haki ya kuitawala Dunia.Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.
Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:
1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote
Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Na yule Mollel mtanzania Alieuawa na Hamas kumbe aliuawa na IDF ?HAMAS makusudio ya october 7th yalikuwa na malengo tofauti na yaliyotokea.
1. HAMAS walienda ndani ya Israel kukamata maaskari ili waje wawatumie kama barganing chip, Haikuwa na lengo la kuua wale watu ktk music festival, kukutana na raia ilikuwa ni unintended consequence.
2. Violence iliyofanywa na Apache Hellicopter za Jeshi la Israel kumimina risasi ziliua watu wengi sana wakiwemo waisrael wenyewe, Ila wanasingiziwa HAMAS.
3. Wapalestina wa Gaza huishi kama vile wapo kifungoni, inaitwa open air prison/ wengine wanaiita concentration camp. Dunia ilishawasahau, walikuwa under blockade ya kufa mtu kwa miska zaidi ya 15.
4. Kuzungumzia october 7th peke yake. Ila ya kuzungumzia october 6th, october 5th n.k za miaka zaidi ya 70 kwa wapalestina, siyo fair, ni kudhani maisha ya waisrael ni bora zaidi kuliko ya wapalestina.
Msaada kwenye tuta plz! Hivi Allah yupo na Muddy na wale bikira72 au?Ujinga wa Hamas wanadanganywa na mtume wa Majini.
Unaona kabisa mtu amekuzidi nguvu.
Ni kwa nini unamchokoza?
Unasababisha watoto wa Kipalestina wanauliwa kama m'bu.
Endeleeni kuwachokoza Israeli ili Mfe.
Na hatutaki maandamano ya Stop the War.
Endeleeni kumwita huyo mwarabu Allah Akbar aje awasaidie.
Nawa kumbusha tena ndugu zangu katika imani.
Hamna Mamlaka ya kuitawala Dunia.
Na Hamtoipata kamwe
Mwenye Mamlaka ni huyu hapa.
Allah hana mamlaka yoyote wala nguvu.
Mathayo 28:17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Mwenye masikio amesikia
Acha mambo yako wewe....wote tulishuhudia kilichotokea October 7. Nyumba zikichomwa maiti zikibuluzwa . Usijisahaulishe Joshua Mollel alijitetea sana lakini wale wapumbavu walimuuwa Kwa risasi zaidi ya moja. Eti helicopter ya jeshi ndo iliuwa watu wengi.... Hata kama ni friendly fire tunaita jeshini haiwezekani kuwa ya kipuuzi vile. Yaaaaniiiii dini hizi jamaniiii unauwa watu halafu unaimba Allahu Akbar ( nyoko nyoko nyoko)HAMAS makusudio ya october 7th yalikuwa na malengo tofauti na yaliyotokea.
1. HAMAS walienda ndani ya Israel kukamata maaskari ili waje wawatumie kama barganing chip, Haikuwa na lengo la kuua wale watu ktk music festival, kukutana na raia ilikuwa ni unintended consequence.
2. Violence iliyofanywa na Apache Hellicopter za Jeshi la Israel kumimina risasi ziliua watu wengi sana wakiwemo waisrael wenyewe, Ila wanasingiziwa HAMAS.
3. Wapalestina wa Gaza huishi kama vile wapo kifungoni, inaitwa open air prison/ wengine wanaiita concentration camp. Dunia ilishawasahau, walikuwa under blockade ya kufa mtu kwa miska zaidi ya 15.
4. Kuzungumzia october 7th peke yake. Ila ya kuzungumzia october 6th, october 5th n.k za miaka zaidi ya 70 kwa wapalestina, siyo fair, ni kudhani maisha ya waisrael ni bora zaidi kuliko ya wapalestina.
Waislamu wa Kitanzania wanaona ni sahihi mwarabu Muislamu kumuua Mtanzania mwingine na hasa kama huyu Mtanzania SIO muislam. Dini ya shet shet kabisa hi yaaniNikikumbuka walichowafanyia ndugu zetu akina Moleli wakati hawahusiki na chochote, hakika anayewatetea Hamas ni gaidi kama walivyo magaidi wengine
Kabla ya oktoba 7 walichokuwa wanakifanya Israel Kwa kunyang'anya mashamba na kuua mashamba mfano mdogo pale west bank Kila siku makazi ya wapalestina yanavunjwa ili pajengwe makazi ya walowezi na miti yao ya mizaituni hukatwa wengine kuuawa unaona ni sawa au ubaya wakitendewa wapalestina ni sawa nao wakichoka wakirusha vikombora vichache ndio magaidi heli wauawe,kuwa kafiri isiwe mzigo kwako Kwa kusababisha kichwa kuwa kama kabati la kuhifadhia menoKwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?
Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?
Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.
Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!
Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.
Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Hili linawezekana mkuu.Sasa hivi ni dhahili kuna mossad wa jutosha gaza wanakusanya info wana share na shinbet wanachakata then IDF anapewa target Kwa utekelezaji. Pia hawa mateka wa mwisho mwisho walioachiwa na Hamas walikuwa wanashikiliwa moja Kwa moja na viongozi wa hamas maana baada ya kurejea Kwa mashambulizi ya Israel anaumwa sana viongozi wa hamas Kwa kasi ya ajabu.