Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Mkuu watoto ni wengi sana humu jf
 
Unachanganya uarabu na upalestina.

Huwezi kuwa raia wa Palestine at the same time uwe raia wa Israel na uitumikie IDF
Wapalestina ndio hao hao waarabu wa Israel wewe. kilichotokea wale waarabu waliokubali utawala wa Israel walijiita waisrael na wale waaarabu waliofukuzwa waliendelea kujiita palestina. Ambao kimsingi lilikuwa jinala eneo lote. Ndani kukiwa na waarabu, wayahudi, druze, Samaritan na mabedui. So hakuna tofauti ya waarabu na palestina ila kuna waarabu wa palestina na waarabu wa palestina walioamua kuachana na hilo jina na kujiita waisrael.
 
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Wamedhibitiwa hivyo kwa sababu muda wote wanapanga kuwaangamiza wayahudi.
Umesahau kwamba pamoja na hela ambazo Qatar kaingiza hapo ila wao walichagua kujenga maandaki kwa ajili ya kujiandaa kuwaua wayahudi
 
Kwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?

Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?

Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.

Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!

Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.

Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Walifanya wakitegemea israeli itamwachia Allha awalipie kisasi.ikawa kinyume israel kaamua mwenyewe kulipa kisasi balaa ndo liko hapo nikupgwa tuu
 
HAMAS makusudio ya october 7th yalikuwa na malengo tofauti na yaliyotokea.

1. HAMAS walienda ndani ya Israel kukamata maaskari ili waje wawatumie kama barganing chip, Haikuwa na lengo la kuua wale watu ktk music festival, kukutana na raia ilikuwa ni unintended consequence.

2. Violence iliyofanywa na Apache Hellicopter za Jeshi la Israel kumimina risasi ziliua watu wengi sana wakiwemo waisrael wenyewe, Ila wanasingiziwa HAMAS.

3. Wapalestina wa Gaza huishi kama vile wapo kifungoni, inaitwa open air prison/ wengine wanaiita concentration camp. Dunia ilishawasahau, walikuwa under blockade ya kufa mtu kwa miska zaidi ya 15.

4. Kuzungumzia october 7th peke yake. Ila ya kuzungumzia october 6th, october 5th n.k za miaka zaidi ya 70 kwa wapalestina, siyo fair, ni kudhani maisha ya waisrael ni bora zaidi kuliko ya wapalestina.
Wale watoto na mama yao mait zao zlizokabithiwa juzkaat nao walikuwa wanajeshi wa israel syo na hao ambao bado wameshikiliwa ni wanajeshi pia sindio. Hv lakin samahan nimetanguliza nikuwa wafuasi wapalestina nikwamba hawawezi kuiitetea palestina bila kusema uongo au nikuwa hawajielewi au kusema uongo napo nisehem ya kuwatetea? Narudia samahan lakin
 
Kwa hiyo walichokifanya Hamas tarehe 7, Oktoba 2023 ni sahihi siyo?

Madhila yote yaliyotokea baada ya Oktoba 7 ni mapitio halali katika safari yao ya ukombozi, siyo?

Cha ajabu, hao Hamas na kwa bahati mbaya, Wapalestina pia, hata Waarabu na Waislamu wenzao ni kama wamewatelekeza tu.

Hamas ni wapumbavu na kwa upumbavu wao huo, wamewasababishia Wapalestina wa Gaza madhila yasiyosemekana!

Na yeyote anayeona kitendo walichokifanya Hamas Oktoba 7 kuwa ni sawa, naye ni mpumbavu kuzidi Hamas.

Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Hello mr.english
 
Unajua umuhimu wa kuwauwa makamanda na viongozi kwenye medani ya kivita? Hezbollah leo hii iko hivyo kama ilivyo sababu ya viongozi wao na makamanda wao kupukutishwa. Kuuwawa Kwa makamanda na kuna shusha molari ya wapiganaji na huo ndo ukweli. LABDA KAMA KUWE NA MOLARI INAYOTOKANA NA AHADI YA KIPUMBAVU YA MITO YA POMBE NA NGONO NA MABIRA 72
Huyu dogo hajui maana yake. Hezbollah kwa sasa wamekuwa wanyonge sana. Yaani kwa kweli hali yetu ni mbaya sana
 
Kabla ya oktoba 7 walichokuwa wanakifanya Israel Kwa kunyang'anya mashamba na kuua mashamba mfano mdogo pale west bank Kila siku makazi ya wapalestina yanavunjwa ili pajengwe makazi ya walowezi na miti yao ya mizaituni hukatwa wengine kuuawa unaona ni sawa au ubaya wakitendewa wapalestina ni sawa nao wakichoka wakirusha vikombora vichache ndio magaidi heli wauawe,kuwa kafiri isiwe mzigo kwako Kwa kusababisha kichwa kuwa kama kabati la kuhifadhia meno
Hawa Makafir wanatumaliza sheikh wangu.kule tunapigika vibaya sana.yu wapi Iran? Ananyamaza tu hafanyi kitu. Inauma sana. Yaani duuh. Hawa jamaa walikuwa wanatutafutia tu sababu ili watugonge namna hii
 
You are in panic mode my sheikh. Lets just calm down and pray for our brothers who are killed out there by Israel.
I have never sided with the Jews since coz according to my little knowledge the Palestinians doesn't deserve that....I do pray for them.
Not in panic mode comrade.
 
I have never sided with the Jews since coz according to my little knowledge the Palestinians doesn't deserve that....I do pray for them.
Not in panic mode comrade.
Well, it doesnt matter. Jews now hawacheki na wowote. But i think you need to get some more knowledge about the situation in the middle east. This time Jews have decided tooth by tooth according to the Islamic laws.
 
HAMAS makusudio ya october 7th yalikuwa na malengo tofauti na yaliyotokea.

1. HAMAS walienda ndani ya Israel kukamata maaskari ili waje wawatumie kama barganing chip, Haikuwa na lengo la kuua wale watu ktk music festival, kukutana na raia ilikuwa ni unintended consequence.

2. Violence iliyofanywa na Apache Hellicopter za Jeshi la Israel kumimina risasi ziliua watu wengi sana wakiwemo waisrael wenyewe, Ila wanasingiziwa HAMAS.

3. Wapalestina wa Gaza huishi kama vile wapo kifungoni, inaitwa open air prison/ wengine wanaiita concentration camp. Dunia ilishawasahau, walikuwa under blockade ya kufa mtu kwa miska zaidi ya 15.

4. Kuzungumzia october 7th peke yake. Ila ya kuzungumzia october 6th, october 5th n.k za miaka zaidi ya 70 kwa wapalestina, siyo fair, ni kudhani maisha ya waisrael ni bora zaidi kuliko ya wapalestina.
Kumbuka kulikuwa na mpango wa inchi mbili kuzigawa ........na israel alikubali ila misri ikawapa ushauri wa kijinga Palestina wakatae kwamba watawaunga mkono kwenye vita............kosa la kihistoria .............ila kuna wakati kama mambo yalikuwa poa........waliishi hivyo hivyo kwa mashaka lakini maisha yalisonga...............na tena walikuwa wanatoka gaza kuja israel kufanya kazi na maisha yalikuwa matamu...........HAMAS walikotoka kuja kuamua kuvuruga maisha mpaka kupoteza hata huo utulivu uliokuwepo........pamoja na shida na malumbano toka miaka hiyo lakini gaza ilikuwa sehemu nzuri ya kuishi......na hata ripoti zilikuwa zinatoka vizuri ........walikuwa ni watu wenye furaha kuliko tanzania yetu .........sasa sijui ilikuwaje tena mambo kugeuka mpaka kufikia kuua ndugu zetu na wala sio wa rangi yao kabisa .........hata kiimani pia maana walikuwa wakristo wale.........HAMAS NI DISASTER KWA WAKAZI WA GAZA TUPENDE TUSIPENDE
 
Mkuu WA majeshi wa Israel aliwaambia bila kuficha kuwa kipigo watakachokipata hamas hawatasahau Kwa Miaka 100 mbele...
Acha waendelee hivihivi kupokea kichapo
 
October 7th ni reaction ya the desperate, maana wao Wapalestina wameface hizo "october 7th" nyingi mno kwa miaka zaidi ya 70 under occupation na Dunia haionyeshi kujali vya kutosha. Ni as if life ya waisrael ina matter zaidi kuliko ya Wapalestina.

Wewe unazungumzia HAMAS na October 7th, lakini huelezi ni how State of Israel came into being.

1. Umesahau makundi ya Kigaidi ya Waisrael ya Hagannah and Irgun, yaliyokuwa yaliyobomb camp David hotel na kuua watu kibao?

2. Umeshahau kuwa hao watu wa Gaza ni wakimbizi ambao walifurumushwa kutoka ndani ya Israel proper na kuwa settled ndani ya Gaza?.

Blaming is easy but wear their shoe!

Kwa kweli Hamas ni stupid. Ni stupid siyo kwa sababu hawana sababu ya msingi ya kupigania wanachodhani ni haki yao. Bali ni stupid kwa kuangalia mbinu wanazotumia.

Yawezekana vipi utumie njia ambayo wakati wote imeonekana kushindwa na kukusababishia madhara mabaya zaidi.
Fikiria kuwa kila mara waarabu wa Palestine walipoanzisha vita, wao ndio waliouawa zaidi na kupoteza maeneo zaidi. Mwaka 1948 walipoanzisha vita walipoteza 60% ya 45% waliyopewa na UN. Mwaka 1967 walipoanzisha vita walipoteza East Jerusalem, West Bank na Gaza. Kila wanaposhambulia, kifo cha muisrael mmoja kinalipwa kwa vifo zaidi ya 20 vya waarabu!! Na bado unaendelea kutumua mbinu hiyo hiyo!! Hapo si utakuwa stupid? Yaana unafanya kitu kile kile ili upokee madhara yale yale!!
 
Israel ilikuwa busy kusaini Abraham accords na nchi za kiarabu, course ya wapalestina dunia ilikuwa imeanza kuipotezea, na hali ya maisha ndani ya Gaza ilikuwa ni unbearable. Kilichofanywa na HAMAS ni kurudisha awareness ya ulimwengu juu ya maisha yao magumu under occupation.
Ni kweli walikuwa wana nafuu kuliko hali ya sasa, lakini nafuu hiyo ni substandard kulingana na maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Ilo hivi, hao Wayahudi wenyewe unaowaona, walisimama kupinga utawala wa Warumi. Soma Maccabbee resistance, walishindwa vita na wakafurumushwa Palestine, Je Wayahudi hao walikuwa stupid?.

Wayahudi hao wamesharesist utawala wa KINAZI kupitia ile inayoitwa Ghetto Resistance, na walikufa wengi, Je tuwaite Wayahudi stupid?

Hao Wayahudi walianzisha vikundi vya Kigaidi vya kuua askari wa Uingereza waliokuwa Palestine baada ya vita ya kwanza na ya pili ya dunia, Je hao Wayahudi walikuwa Stupid?.

Iko hivi, Israel inataka eneo la West bank na Gaza kwa njia zozote. Wapalestina wakiact peacefully watachokozwachokozwa waresist ili waitwe magaidi wauawe. Kama wasipokuwa peaceful hapo ndo Israel anaejoy pia, kwa kuwalabel magaidi.

Kiufupi, Israel kwa msaada wa Marekani wana jambo lao hapo middle east, na Wapalestina ni kizingiti ambacho lazima kiondolewe.

But Mark my words, Ipo siku wazungu watamgeuka myahudi tena kama walivyokuwa wanamkimbizakimbiza kwa miaka 2000 na itakuwa balaa kubwa kwake.
 
View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl

Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.

Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.

Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!

Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.

Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.

Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.

Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.

Neta aliposema vita itakuwa ngumu, ya muda mrefu,lakini itakapokwisha kutakuwa na mabadiliko makubwa katika eneo hilo, wanadamu wenzake hawakumuelewa kabisa,ila sasa wanaanza kumuelewa.
 
Back
Top Bottom