Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

View: https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl

Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma.

Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023.

Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua!

Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana.

Ninadhani kuwa hakutakuwa tena na shambulio Kama hilo la Oktoba 7.

Maana hata mtu mpumbavu siyo kwamba Hana akili kabisa.

Kwa kipigo wanachotoa Israel, hata aliye mpumbavu ni lazima atalielewa somo.

Tangu waisrael walipoanza kuwauwa hao wapelestina ilitakiwa wawe wamefutika!
 
Walipouawa wazee wetu kwenye vita vya majimaji kwa kunyongwa na mjerumani, kuna watu waliwaona stupid sana kwa kudare kupigania uhuru wao.

Ukiwa far away behind the keyboard unaweza kusema hao wanaopambana kuwa huru ni stupid. Lakini ujue kuwa wapalestina wanakutana na situation zifuatazo:

1. Hawaruhusiwi kuvuna maji ya mvua
2. Hawaruhusiwi kuwa na disalination plant
3. Hawaruhusiwi kujenga airport
4. Hawaruhusiwi kuvua samaki beyond umbali fulani ktk bahari yao
5. Calories zinazoingia Gaza zinakuwa calculated zisidi kiwango fulani
6. Hawana uraia wa Taifa lolote

Na hayo ni machache tu, ila unawaita stupid kwa sababu wanadare kutafuta uhuru wao!. Absurd!
Wakiruhusiwa tu wanaanza ugaidi na kutaka kuifuta Israel.
Bora wadhibitiwe hivyo kwa mkono wa chuma
 
Hivi Hamas, Palestinians, Gazans, Arab world walifikiria nini kitatokea baada ya lile tukio la October?

Je walitegemea Israel kuogopa?
 
Hivi Hamas, Palestinians, Gazans, Arab world walifikiria nini kitatokea baada ya lile tukio la October?

Je walitegemea Israel kuogopa?
1.Hawakutarajia kama Israel itakuwa Tayari kuua Watu wengi kiasi hiki
2. Waliaiamini Iran, Hezbollah na Syria kuwa zitaruhusu Wapiganaji waivamie Israel Kusini na Kaskazini.
3. Walifanya vile kuzuia Israel na Saudi Arabia kusaini mkataba wa Amani.

Israel walikuwa wanaichukulia Hezbollah kuwa ni Hatari kuliko Hamas na wakawekeza Muda na Nguvu kujiandaa na tishio kutoka Hezbollah kuliko Hamas, matokeo ya hii vita Israel iliimaliza Hezbollah ndani ya week mbili, Silaha zao hatari na muhimu zote zikaharibiwa ndani ya siku 14 tu,
Lile Shambulio la pagers liliwavunja moyo na molari Hezbollah na pigo kubwa zaidi ni pale viongozi wote yaani wote wa muhimu walipouliwa.

Hezbollah ilipokufa Waasi wa Syria wakatumia hii Nafasi na kumuondoa Assad hili ni bonge la pigo kwa Hezbollah sababu Silaha zao haziwezi tena kuwafikia
 
Israel ilikuwa busy kusaini Abraham accords na nchi za kiarabu, course ya wapalestina dunia ilikuwa imeanza kuipotezea, na hali ya maisha ndani ya Gaza ilikuwa ni unbearable. Kilichofanywa na HAMAS ni kurudisha awareness ya ulimwengu juu ya maisha yao magumu under occupation.
Ni kweli walikuwa wana nafuu kuliko hali ya sasa, lakini nafuu hiyo ni substandard kulingana na maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Ilo hivi, hao Wayahudi wenyewe unaowaona, walisimama kupinga utawala wa Warumi. Soma Maccabbee resistance, walishindwa vita na wakafurumushwa Palestine, Je Wayahudi hao walikuwa stupid?.

Wayahudi hao wamesharesist utawala wa KINAZI kupitia ile inayoitwa Ghetto Resistance, na walikufa wengi, Je tuwaite Wayahudi stupid?

Hao Wayahudi walianzisha vikundi vya Kigaidi vya kuua askari wa Uingereza waliokuwa Palestine baada ya vita ya kwanza na ya pili ya dunia, Je hao Wayahudi walikuwa Stupid?.

Iko hivi, Israel inataka eneo la West bank na Gaza kwa njia zozote. Wapalestina wakiact peacefully watachokozwachokozwa waresist ili waitwe magaidi wauawe. Kama wasipokuwa peaceful hapo ndo Israel anaejoy pia, kwa kuwalabel magaidi.

Kiufupi, Israel kwa msaada wa Marekani wana jambo lao hapo middle east, na Wapalestina ni kizingiti ambacho lazima kiondolewe.

But Mark my words, Ipo siku wazungu watamgeuka myahudi tena kama walivyokuwa wanamkimbizakimbiza kwa miaka 2000 na itakuwa balaa kubwa kwake.
Hizo zitakuwa ni siku za mwisho kabla ya kurudi Masihi. Imetabiriwa yaani si jambo jipya unaloongea. Biblia kitabu cha Wakristo kinasema watakuja kupigwa sana hao Wayahudi na watalia sana wasipate msaada mpaka wakija mkubali Masihi wao waliyemuua kuwa ndiye ndipo kichapo kitabadilika kuhamia kwa maarabu. Hivyo mayahudi watakuja kupigwa huko mbeleni ila ndo mwisho ule uliohubiriwa utakuwa unakuja
 
Sikiliza, hii concept ya mwarabu vs Myahudi mnaiangalia kijuujuu sana.

Mwarabu Halisi ni Myemeni na Msaudia

Hawa wengine mnaowaita waarabu kwa mfano Wamorocco, Waalgeria, Wamisri, hawa ni mkusanyiko wa damu za mataifa mengi kama vile Warumi, wagiriki, Wapersia, Amazighs. Kiufupi sehemu kubwa yao ni wazungu hao. Hawa wanaitwa waarabu kwa sababu waliadopt culuture za kiarabu ikiwemo lugha.
 
Back
Top Bottom