Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Mkuu watoto ni wengi sana humu jf
 
Unachanganya uarabu na upalestina.

Huwezi kuwa raia wa Palestine at the same time uwe raia wa Israel na uitumikie IDF
Wapalestina ndio hao hao waarabu wa Israel wewe. kilichotokea wale waarabu waliokubali utawala wa Israel walijiita waisrael na wale waaarabu waliofukuzwa waliendelea kujiita palestina. Ambao kimsingi lilikuwa jinala eneo lote. Ndani kukiwa na waarabu, wayahudi, druze, Samaritan na mabedui. So hakuna tofauti ya waarabu na palestina ila kuna waarabu wa palestina na waarabu wa palestina walioamua kuachana na hilo jina na kujiita waisrael.
 
Wamedhibitiwa hivyo kwa sababu muda wote wanapanga kuwaangamiza wayahudi.
Umesahau kwamba pamoja na hela ambazo Qatar kaingiza hapo ila wao walichagua kujenga maandaki kwa ajili ya kujiandaa kuwaua wayahudi
 
Walifanya wakitegemea israeli itamwachia Allha awalipie kisasi.ikawa kinyume israel kaamua mwenyewe kulipa kisasi balaa ndo liko hapo nikupgwa tuu
 
Wale watoto na mama yao mait zao zlizokabithiwa juzkaat nao walikuwa wanajeshi wa israel syo na hao ambao bado wameshikiliwa ni wanajeshi pia sindio. Hv lakin samahan nimetanguliza nikuwa wafuasi wapalestina nikwamba hawawezi kuiitetea palestina bila kusema uongo au nikuwa hawajielewi au kusema uongo napo nisehem ya kuwatetea? Narudia samahan lakin
 
Unfortunately, stupid is as stupid does. You can’t fix stupid.
Hello mr.english
 
Huyu dogo hajui maana yake. Hezbollah kwa sasa wamekuwa wanyonge sana. Yaani kwa kweli hali yetu ni mbaya sana
 
Hawa Makafir wanatumaliza sheikh wangu.kule tunapigika vibaya sana.yu wapi Iran? Ananyamaza tu hafanyi kitu. Inauma sana. Yaani duuh. Hawa jamaa walikuwa wanatutafutia tu sababu ili watugonge namna hii
 
You are in panic mode my sheikh. Lets just calm down and pray for our brothers who are killed out there by Israel.
I have never sided with the Jews since coz according to my little knowledge the Palestinians doesn't deserve that....I do pray for them.
Not in panic mode comrade.
 
I have never sided with the Jews since coz according to my little knowledge the Palestinians doesn't deserve that....I do pray for them.
Not in panic mode comrade.
Well, it doesnt matter. Jews now hawacheki na wowote. But i think you need to get some more knowledge about the situation in the middle east. This time Jews have decided tooth by tooth according to the Islamic laws.
 
Kumbuka kulikuwa na mpango wa inchi mbili kuzigawa ........na israel alikubali ila misri ikawapa ushauri wa kijinga Palestina wakatae kwamba watawaunga mkono kwenye vita............kosa la kihistoria .............ila kuna wakati kama mambo yalikuwa poa........waliishi hivyo hivyo kwa mashaka lakini maisha yalisonga...............na tena walikuwa wanatoka gaza kuja israel kufanya kazi na maisha yalikuwa matamu...........HAMAS walikotoka kuja kuamua kuvuruga maisha mpaka kupoteza hata huo utulivu uliokuwepo........pamoja na shida na malumbano toka miaka hiyo lakini gaza ilikuwa sehemu nzuri ya kuishi......na hata ripoti zilikuwa zinatoka vizuri ........walikuwa ni watu wenye furaha kuliko tanzania yetu .........sasa sijui ilikuwaje tena mambo kugeuka mpaka kufikia kuua ndugu zetu na wala sio wa rangi yao kabisa .........hata kiimani pia maana walikuwa wakristo wale.........HAMAS NI DISASTER KWA WAKAZI WA GAZA TUPENDE TUSIPENDE
 
Mkuu WA majeshi wa Israel aliwaambia bila kuficha kuwa kipigo watakachokipata hamas hawatasahau Kwa Miaka 100 mbele...
Acha waendelee hivihivi kupokea kichapo
 

Kwa kweli Hamas ni stupid. Ni stupid siyo kwa sababu hawana sababu ya msingi ya kupigania wanachodhani ni haki yao. Bali ni stupid kwa kuangalia mbinu wanazotumia.

Yawezekana vipi utumie njia ambayo wakati wote imeonekana kushindwa na kukusababishia madhara mabaya zaidi.
Fikiria kuwa kila mara waarabu wa Palestine walipoanzisha vita, wao ndio waliouawa zaidi na kupoteza maeneo zaidi. Mwaka 1948 walipoanzisha vita walipoteza 60% ya 45% waliyopewa na UN. Mwaka 1967 walipoanzisha vita walipoteza East Jerusalem, West Bank na Gaza. Kila wanaposhambulia, kifo cha muisrael mmoja kinalipwa kwa vifo zaidi ya 20 vya waarabu!! Na bado unaendelea kutumua mbinu hiyo hiyo!! Hapo si utakuwa stupid? Yaana unafanya kitu kile kile ili upokee madhara yale yale!!
 

Israel ilikuwa busy kusaini Abraham accords na nchi za kiarabu, course ya wapalestina dunia ilikuwa imeanza kuipotezea, na hali ya maisha ndani ya Gaza ilikuwa ni unbearable. Kilichofanywa na HAMAS ni kurudisha awareness ya ulimwengu juu ya maisha yao magumu under occupation.
Ni kweli walikuwa wana nafuu kuliko hali ya sasa, lakini nafuu hiyo ni substandard kulingana na maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Ilo hivi, hao Wayahudi wenyewe unaowaona, walisimama kupinga utawala wa Warumi. Soma Maccabbee resistance, walishindwa vita na wakafurumushwa Palestine, Je Wayahudi hao walikuwa stupid?.

Wayahudi hao wamesharesist utawala wa KINAZI kupitia ile inayoitwa Ghetto Resistance, na walikufa wengi, Je tuwaite Wayahudi stupid?

Hao Wayahudi walianzisha vikundi vya Kigaidi vya kuua askari wa Uingereza waliokuwa Palestine baada ya vita ya kwanza na ya pili ya dunia, Je hao Wayahudi walikuwa Stupid?.

Iko hivi, Israel inataka eneo la West bank na Gaza kwa njia zozote. Wapalestina wakiact peacefully watachokozwachokozwa waresist ili waitwe magaidi wauawe. Kama wasipokuwa peaceful hapo ndo Israel anaejoy pia, kwa kuwalabel magaidi.

Kiufupi, Israel kwa msaada wa Marekani wana jambo lao hapo middle east, na Wapalestina ni kizingiti ambacho lazima kiondolewe.

But Mark my words, Ipo siku wazungu watamgeuka myahudi tena kama walivyokuwa wanamkimbizakimbiza kwa miaka 2000 na itakuwa balaa kubwa kwake.
 
Neta aliposema vita itakuwa ngumu, ya muda mrefu,lakini itakapokwisha kutakuwa na mabadiliko makubwa katika eneo hilo, wanadamu wenzake hawakumuelewa kabisa,ila sasa wanaanza kumuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…