Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

Tangu waisrael walipoanza kuwauwa hao wapelestina ilitakiwa wawe wamefutika!
 
Wakiruhusiwa tu wanaanza ugaidi na kutaka kuifuta Israel.
Bora wadhibitiwe hivyo kwa mkono wa chuma
 
Hivi Hamas, Palestinians, Gazans, Arab world walifikiria nini kitatokea baada ya lile tukio la October?

Je walitegemea Israel kuogopa?
 
Hivi Hamas, Palestinians, Gazans, Arab world walifikiria nini kitatokea baada ya lile tukio la October?

Je walitegemea Israel kuogopa?
1.Hawakutarajia kama Israel itakuwa Tayari kuua Watu wengi kiasi hiki
2. Waliaiamini Iran, Hezbollah na Syria kuwa zitaruhusu Wapiganaji waivamie Israel Kusini na Kaskazini.
3. Walifanya vile kuzuia Israel na Saudi Arabia kusaini mkataba wa Amani.

Israel walikuwa wanaichukulia Hezbollah kuwa ni Hatari kuliko Hamas na wakawekeza Muda na Nguvu kujiandaa na tishio kutoka Hezbollah kuliko Hamas, matokeo ya hii vita Israel iliimaliza Hezbollah ndani ya week mbili, Silaha zao hatari na muhimu zote zikaharibiwa ndani ya siku 14 tu,
Lile Shambulio la pagers liliwavunja moyo na molari Hezbollah na pigo kubwa zaidi ni pale viongozi wote yaani wote wa muhimu walipouliwa.

Hezbollah ilipokufa Waasi wa Syria wakatumia hii Nafasi na kumuondoa Assad hili ni bonge la pigo kwa Hezbollah sababu Silaha zao haziwezi tena kuwafikia
 
Hizo zitakuwa ni siku za mwisho kabla ya kurudi Masihi. Imetabiriwa yaani si jambo jipya unaloongea. Biblia kitabu cha Wakristo kinasema watakuja kupigwa sana hao Wayahudi na watalia sana wasipate msaada mpaka wakija mkubali Masihi wao waliyemuua kuwa ndiye ndipo kichapo kitabadilika kuhamia kwa maarabu. Hivyo mayahudi watakuja kupigwa huko mbeleni ila ndo mwisho ule uliohubiriwa utakuwa unakuja
 

Sikiliza, hii concept ya mwarabu vs Myahudi mnaiangalia kijuujuu sana.

Mwarabu Halisi ni Myemeni na Msaudia

Hawa wengine mnaowaita waarabu kwa mfano Wamorocco, Waalgeria, Wamisri, hawa ni mkusanyiko wa damu za mataifa mengi kama vile Warumi, wagiriki, Wapersia, Amazighs. Kiufupi sehemu kubwa yao ni wazungu hao. Hawa wanaitwa waarabu kwa sababu waliadopt culuture za kiarabu ikiwemo lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…