Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

Leo Tela Aviv imechafuliwa vibaya sana
20231014_121104.jpg
 
Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi​

Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.

Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake wamewaangamiza askari kadhaa wa Israel waliokuwemo ndani ya zana hizo. Baada ya kukamilishwa operesheni hiyo na kuwasili vikosi vya usaidizi vya utawala wa Kizayuni karibu na Ei Rose, yalizuka mapigano makali kati ya vikosi vya wazayuni na Mujahidina wa al Qassam.

View attachment 2798061

Mwandishi wa habari wa Russia al-yaum ameripoti kuwa: tukio hilo lilianza kwa operesheni ya vikosi vya al Qassam ya kujipenyeza nyuma ya safu za wanajeshi wa Israel, na vikosi hivyo vya Hamas vikashambulia magari ya kivita ya Israel kwa makombora ya kuteketezea magari ya kivita.
Hawa wapuuzi usikute wenyewe wako bize kupiga punyeto wakiwahasa wasio na akili kwenda kujilipua huku wakiwacheka.
 
Hawa wapuuzi usikute wenyewe wako bize kupiga punyeto wakiwahasa wasio na akili kwenda kujilipua huku wakiwacheka.
We tabia yako mbishi hata ukiambiwa Israel anapokea cha moto utabisha waulize leo walio ingia wamevaa nguo za kijeshi za Israel ni watu gani watakuambia ni Amerika, Ukraine, Jerumani, Italian wamepokea kipigo vifaru 2 na 12 Army vehicle walitaka kuonyesha film ya Hollywood imekula kwao.

Wanajeshi wa Israel wanaogopa kuingia Gaza hao wa Amerika, Ukraine, Germany, Italy, wakajidai wamba ili wawaonyesha askari ws Israel wao mbona wanaingia na kutoka 😄
 
Waarabu wanaweza insurgency tu vita ya piga nikupige dakika kumi ni nyingi watachakazwa vibaya sana.Jiulize kwa nini hawasongi mstari wa mbele kuwakabili wayahudi feki?Wee mtu anaingia kwako umejificha kwenye handaki hutoki kupigana unasubiri raia wawe kinga yako?Acha kudanganywa kwenye vijiwe vya gahawa.Bila kutumia raia kama kinga hakun mwarabu anaweza pambana na mtu yeyote.Rejea Iraq na Afghan
Kama hujawahi kuhusika na vita,na medani za kivita huzijui,ni ngumu kuelewa kinachoendelea gaza.
 
Tatizo sio nyenzo,tatizo piga nikupige kitaa, Israel haiwezi🤣
Kama hawezi Gaza ameingiaje ?
Nadhani tuache ushabiki.
Vita siyo imani, imani ni dini, unaweza pigana.vita ya kiimani lakini lazima uwe na ujuzi, silaha, utaweza kushinda vita ,vingenevyo unachelewesha kushindwa tu
 
Malaria 2 unanikumbusha member wa zamani aliyejiita Malaria sugu
 
Sasa hapa tutaona Kama Hamas wataweza kuvumilia kupambana na majeshi ya wayahudi feki wa kizungu kwa mda mrefu wakiwa kwenye blocked.
Wayahudi feki mkiwaweza basi wayahudi original ndio kaburi lenu.
Au hawa original mnaujua mziki wao?
Kazi ndio imeanza tusisikie kilele za kugugumia kuomba huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We tabia yako mbishi hata ukiambiwa Israel anapokea cha moto utabisha waulize leo walio ingia wamevaa nguo za kijeshi za Israel ni watu gani watakuambia ni Amerika, Ukraine, Jerumani, Italian wamepokea kipigo vifaru 2 na 12 Army vehicle walitaka kuonyesha film ya Hollywood imekula kwao.

Wanajeshi wa Israel wanaogopa kuingia Gaza hao wa Amerika, Ukraine, Germany, Italy, wakajidai wamba ili wawaonyesha askari ws Israel wao mbona wanaingia na kutoka 😄
Kwa akili yako ilivyo finyu, unataka kutudanganya kwamba Waarab wanashinda hii vita na vipigo vyote hivi wanavyovipata?
 
Sawa, ila mpaka sasa kuna Wapalestina na Waisrael wangapi wamefariki kwenye hii vita....fuatilia takwimu ndipo utajuwa nani anabamizwa!
Tukiwambia nyie vita mnadhani wangapi wamekufa ndio mana mnakimbilia kuwauwa watoto na wanawake na wagonjwa hospital vita ni kila kitu cha kwanza hasara ya nchi, watu, Siasa saa Israel kwanza anaficha watu wake wangapi wamekufa sa huwezi kuja na data za uhakika hayo ya politics na economics Israel kala hasara
 
Back
Top Bottom