Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

Jiulize suali dogo toka siku vita imeanza kwanini hadi leo Israel wameshindwa kuitawala Gaza? Israel hadi sasa anaongoza kwa kuangusha nyumba za raia na mahospitali hadi ambulance lakini ground war amechemka na sio Israel tu hata hao US wenyewe vita ya chini ni wote ni mwanamke tu hawawezi kitu, Angalia Russia pia alivyodunda Kyv
 
Vita ya ardhini mwenyeji huibuka mshindi mara nyingi. Maana anajua kila kona ya mazingira pia kwake nirahisi kusafirisha vifaa vya vita. Ukumbuke ye anaweza tumia hata coster kusafirisha vifaa vya kivita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…