Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

The technology:
  • A school book bag (empty)
  • CDs
  • Laptop

Yup. Thatโ€™s the proof of a command center.
๐Ÿ˜‚
 
Mbona ulileta Uzi hapa kuwa wanajeshi wa Israel wamekuwa wiped hapo Al Shifa, sasa hivi unasema vingine
Hawa watetea magaidi wana shida, mahandaki yaneonyeshwa mchana kweupe halafu wanaleta ngonjera eti Israeli anasema uongo, Hamas wameua na kuteka mkashangilia, Israel ikatangaza vita, wakaanzisha propaganda eti Israel anaenda kufyekwa na Hamas, mara Gaza litakuwa kaburi la IDF , mara Hezbollah wameangamiza jeshi la Israel, mara Israel hachomoki, mwisho kabisa Israel anaua watoto na WA awake, Hamas alivyoua watoto na wanawake mlishangilia na kupongezana kuwa mungu ni mkuu, kwa mazingira hayo myahudi Hana chaguo linguine isipokuwa mapambana, Israel ameshagundua hata ikiwa nchi Moja Hamas watawashambulia waisrael tu, so dawa yake ni kuwanyosha tu.
 
BREAKING: A wave of Labour frontbenchers including Jess Phillips have resigned in order to back an SNP motion calling for a ceasefire in Gaza.
 

Attachments

  • IMG_6263.jpeg
    25.4 KB · Views: 2
Hakuna Handaki lililoonyeshwa zaidi ya hii video ya Hollywood waliopiga kwenye Shimo la Lift nayo Ishakua Debunked

 
Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?
 
Kajifundishe kwanza kuandika kisha uje kusema unachotaka kusema.
 
Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?View attachment 2814918View attachment 2814913
Hamas wanapiga na kuondoka, ni Guerilla warfare, natumai wewe unajua vizuri tu ila unajitoa Hufahamu ukizungumzia mabwana zako.

Na kwenye Guerilla Warfare unashtukiza unapiga unasepa hubaki hapo hapo, walipigwa IDF wakati wanaenda Hio Hospitali ni kweli, na sasa IDF wapo Hospitali pia ni kweli, sasa sijajua drama gani unatengeneza hapa.
 
Mapovu yaliwatoka sana humu kuna nyuzi zaidi ya nne zinasema AL SHIFA HOSPITAL ndiyo Makao Makuu yq Hamas
Mods huu uzi uachheni msije kuunganisha. Watu wanameza
Propaganda tu.
Kuna jamaa alileta Kideo kabisa cha 3D kikionyesha mfano wa underground ofisi ilivyo
 
BBC just apologized:

โ€œWe said that medical teams and Arab speakers were being targeted. This was incorrect. We should have said IDF forces included medical teams and Arabic for this operation. We apologise for this error.โ€
๐Ÿ˜‚
 
Surprise ya liars ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ผ๏ธ
 

Attachments

  • IMG_6264.jpeg
    101.6 KB · Views: 1
Uhitaji elimu yeyote kujua ya kuwa hizo video ni propaganda za kuficha aibu ukizingatia amesha uwa watu wengi ndani ya hospital kwa visingizio vya hamas ina kambi zake sijui nn.

Walituambia kuwa hospital hiyo ndo makao makuu ya Comand ya Hamas hivi katika video hiyo kuna hata dalili ya kitu kama hicho?

Walituambia baadhi ya mateka na viongozi wa Hamas wako humo vipi mbona mpaka sasa hatujaona kitu kama hicho?
Kiufupi jeshi teule ni moja ya jeshi la hovyo kuwahi kutokea duniani?
 
Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?View attachment 2814918View attachment 2814913
Usitake kupoteza lengo ,mada hapa ni hospital ya Al shifa ndo makao makuu ya operation za hamas ndani ya gaza, viongozi wa Hamas akiwemo kamanda Mkuu yuko humo na vikosi vyetu vimemzunguka hana pakukimbilia,na baadhi ya mateka wako ndani ya hospital ,huo ndo umekuwa wimbo wa Israel na wafuasi wake humu jf.
Leo hospital inavamiwa wanakuja kutuonedha masnki ya vyoo na lift ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ badala ya kutuonesha makamanda wa hamas walio kamatwa,baadhi ya mateka walio okolewa na chumba kikubwa chenye mitambo ya mawasiliano na maskirini makubwa.

Alafu mnatuambia eti Israel ina Interegensi labda ya mavi.
 

Punguza uongo, bado operation inaendelea. Na wamekufa wapiganaji 50 wa Hamas.
 
Wale waisraeli wakuranga na rombo njooni muanze matusi kutetea taifa teule.
Sisi tunawaletea tu kauli za kaka zenu walioko Israel.

Karibuni sana.

Bora wewe umesema wapo Israel, huyo muongo kasema wapo Gaza. Tangu lini msemaji wa IDF akawa Gaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ