Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

BREAKING: A wave of Labour frontbenchers including Jess Phillips have resigned in order to back an SNP motion calling for a ceasefire in Gaza.

Watu wameiteka Gaza wewe unaleta stori za Kuresign.
 
The technology:
  • A school book bag (empty)
  • CDs
  • Laptop

Yup. That’s the proof of a command center.
😂
Kichapo kipo pale pale. Hamas ni monsters. Lazima wafukuliwe popote walipo.
 
Mpalestina wa Mbagala Majimatitu
 
Taratibu sasa, tiyari mmekubali Israel imeingia Gaza na hadi kufika hospitalini. Ni lini Hamas waliipiga Israel kuizuia isifanye operation? Na Israel ilirudi lini kiwashinda. Maana taarifa zenu humu huwa mnadai Hamas inapiga, Israel inaokota maiti za wanajeshi, Israel imezuiwa kuendelea, majenerali watano wa Israel wamefariki.

Ghafla mnalalamika Israel imevamia Al Shifa, baadae msemaji wa IDF kafika Al Shifa. Guess who is winning
 
Umefurahia kweli😂
 
🚨JUST IN: BIDEN SAYS HAMAS HAS COMMAND CENTER UNDER AL SHIFA HOSPITAL

Reporter: "What kind of evidence the US has seen that Hamas has a command center under Al Shifa hospital?"

Biden: "I can't tell you, I won't tell you"

Reporter: "Do you feel confident based on what you know?"

Biden: "YES, yes..."
😂
 
kama mambo ni hayo basi Israel kwisha kazi yake.kama ni sare za mgambo si ni kawaida hospitali kuwa mgambo wanaolinda usalama wa wagonjwa na amani katika eneo.
Wapenzi wa taifa teule waliraji kuona IDF wakiwa wamebeba mateka na kupiganao picha kupeleka sifa nyumbani.
Imeishia kuhojiana na wagonjwa.
 
Wanazidi kupoteza kuaminika kwao.Hata wakija na hadithi zao nyengine watapuuzwa.Hawana CIA wala Mosad wote waongo tu na wanatumia papasi kubahatisha wanakokwenda kama jongoo na konokono.
 
Kieneo chenyewe hata kigamboni ni kubwa lakini mpaka sasa jeshi la watu zaidi ya laki tatu lenye kila aina ya silaha limeshindwa hata kuteka nusu yake tena dhidi ya wapiganaji wenye wasio miliki silaha zaidi ya bunduki na ant tank za kienyeji.
 
Mapovu yaliwatoka sana humu kuna nyuzi zaidi ya nne zinasema AL SHIFA HOSPITAL ndiyo Makao Makuu yq Hamas
Mods huu uzi uachheni msije kuunganisha. Watu wanameza
Propaganda tu.
Hizo silaha ni sindono? Au ni drip ? Hizo ni silaha za vita hazikutakiwa kuwepo hosp, hiyo ni ishara mojawapo hosp hiyo ilitumiwa na magaidi.
Ushaihidi wa kwanza umeonekana ,bado watajulikana tu, Israel wameamua kuikalia Gaza,kila kitu kitajulikana tu.
 
Una uhakika gani iwapo hizo silaha wamezileta wenyewe kwa ajili ya kufanya propaganda baada ya kukosa kile walicho kuwa wana kitaka?
 
Wanapiga na kuondoka kwenda wapi labda wajifiche kwenye kundi ra raia na Usichokijua ni kwamba ikitokea IDF wameshambuliwa basi uelekeo yalipotokea mashambulizi nyote mnaangamizwa haijalishi mmehusika au hamkuhusika inaitwa collective punishment maana inaonekana na nyinyi raia mnawaunga mkono Hamas.
 
Kumbukumbu la Torati 4: 37 Na kwa sababu aliwapenda baba zenu, kwa sababu hiyo aliwachagua wazao wao baada yao, akakutoa katika Misri kwa kuwako pamoja nawe, kwa uweza wake mwingi,

38 ili kufukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.

39 Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.
 
Tatizo watu wanashindwa kuelewa kwamba hiyo hospital inashutumiwa kutumika kama command center na hamas sasa ,wengi wanaopinga hili wanataka labda Israel ije na uthibitisho wa maroketi,mabomu,na zana mbalimbali lukuki za kivita kutoka hapo hospitali ili dai hili liwe kweli .Command centre ni Kama office zinazotumika kupanga ,kushauri Kutatibu na kutekeleza mashambulizi mbalimbali kwenda Israel.
 
Changing the narrative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…