Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

JUST IN: Imminent Prisoner Deal Between Israel and Hamas

- A prisoner deal between Israel and Hamas, involving the exchange of 50 prisoners on each side, will focus on women and children.

- The agreement is expected to include a 3-day truce in Gaza.

- Israel has agreed to allow limited quantities of fuel into the Gaza Strip under UN supervision.

Source: Al Arabiya
 
Attachments

  • IMG_6340.jpeg
    IMG_6340.jpeg
    61.8 KB · Views: 1
Taratibu Israel wanaanza kusalimi amri.
Israel imekubali kuruhusu kiwango kidogo cha mafuta katika Ukanda wa Gaza chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.
 
BREAKING: HAMAS TUNNEL “FOUND” BY ISRAEL IS A WATER RESERVOIR

This is why they didn't film 'inside' the tunnel.😂
 
Attachments

  • IMG_6344.jpeg
    IMG_6344.jpeg
    84.9 KB · Views: 1
  • IMG_6343.jpeg
    IMG_6343.jpeg
    128.2 KB · Views: 1
Taratibu Israel wanaanza kusalimi amri.
Israel imekubali kuruhusu kiwango kidogo cha mafuta katika Ukanda wa Gaza chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.
Netanyahu alishasema wamejiandaa kwa vita vya muda mrefu dhidi ya ugaidi.
Kuruhusu mafuta kidogo ni kwa ajili ya wananchi wa Palestine na sio kwamba imesalimu amri.
Kipigo kiko pale pale
 
Netanyahu alishasema wamejiandaa kwa vita vya muda mrefu dhidi ya ugaidi.
Kuruhusu mafuta kidogo ni kwa ajili ya wananchi wa Palestine na sio kwamba imesalimu amri.
Kipigo kiko pale pale
Haaa nakuona msemaji wa Netanyau.
 
Netanyahu alishasema wamejiandaa kwa vita vya muda mrefu dhidi ya ugaidi.
Kuruhusu mafuta kidogo ni kwa ajili ya wananchi wa Palestine na sio kwamba imesalimu amri.
Kipigo kiko pale pale
Netanyahu Kwako ni mungu kila anachosema unakubaloli hata akisema nataka kukutafuna haraka tu unavua boxer.
 
Netanyahu Kwako ni mungu kila anachosema unakubaloli hata akisema nataka kukutafuna haraka tu unavua boxer.
Hasira ya nini ustazi?!
Nimenukuu maneno ya Netanyahu kwamba vita dhidi ya ugaidi itakua ngumu na ya muda mrefu.
Hata kama kuna cease fire itakua ya muda tu for humanitarian reasons.
 
Wale waisraeli wakuranga na rombo njooni muanze matusi kutetea taifa teule.
Sisi tunawaletea tu kauli za kaka zenu walioko Israel.

Karibuni sana.
Mwarabu Mmatumbi tumekusikia. Watanzania wenzetu wametekwa na Mashetani wa Hamas na mmoja keshathibitishwa kuuwawa, endelea kutetea your slave masters, na mahandaki yanazidi kufichuliwa hapo hospitalini, kam vile kuna DEADLINE YA kuonyesha mahandaki.
 
Attachments

  • Screenshot_20231118-043034_Chrome.jpg
    Screenshot_20231118-043034_Chrome.jpg
    335.8 KB · Views: 1
Propaganda ni moja ya Silaha nzuri katika Vita ya kumshinda adui!
 
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
 
Hasira ya nini ustazi?!
Nimenukuu maneno ya Netanyahu kwamba vita dhidi ya ugaidi itakua ngumu na ya muda mrefu.
Hata kama kuna cease fire itakua ya muda tu for humanitarian reasons.
Wala hamna hasira ndiyo kautaratibu kangu miaka yote JF ukija na hoja unajibiwa na hoja ukijafanya kuja kunishambulia kutafuta sifa JF uje imejipanga maana lazima utakuna na bakora.
 
Wala hamna hasira ndiyo kautaratibu kangu miaka yote JF ukija na hoja unajibiwa na hoja ukijafanya kuja kunishambulia kutafuta sifa JF uje imejipanga maana lazima utakuna na bakora.
Hoja gani uliojibu zaidi ya mipasho?!
Huna akili
 
Back
Top Bottom