Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Oya faza najua kisukari kimepanda baada ya kuona bwana mliekuwa mnamtegemea anachakazwa km mwanasesere😅😅😅
Haha hahaaaa...Nshaku ignore bro utanipa tabu tu.
Kuna Jamaa mmoja nimeenda naye sambamba kwa hoja hadi karudisha mpira kwa kipa, dini za majahazi hizi zimetufanya kuwa ndezi sana kisa tu mahaba niue ilihali wenye dini zao hutuona nyani tu tuliochangamka 😂Oya faza najua kisukari kimepanda baada ya kuona bwana mliekuwa mnamtegemea anachakazwa km mwanasesere😅😅😅
Udini mbaya sana
Huyu mzee nilikuwa simjui ila nikapata video zake anaudini sio poaKuna Jamaa mmoja nimeenda naye sambamba kwa hoja hadi karudisha mpira kwa kipa, dini za majahazi hizi hizi zimetufanya kuwa ndezi sana kisa tu mahaba niue ilihali wenye dini zao hutuona nyani tu tuliochangamka 😂
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Baada ya kipigo heavy cha myahudi kumzidia Iran sasa ndo akili inaanza kurudi
Wairani wanakimbia hukoWenzako wanaokota maiti Israel vifo vinaongezeka huko.
Uwe na siku njema mkuu.
Inawezekana warushaji wameunga juhudi tayari.Iran naona makombola sijui yameisha maana leo pamekuwa kimya hajarusha hadi muda huu kimyaaa