Msemaji wa Jeshi la Kenya (KDF) naye adaiwa kutoweka ghafla!

Msemaji wa Jeshi la Kenya (KDF) naye adaiwa kutoweka ghafla!

Status
Not open for further replies.
Nawatadhalisha Kenya uchaguzi uliopita JK aliwaokoa mwaka huu itawagharimu ndugu zetu
 
Kenya hivi vitu ni kama vya kawaida kuelekea uchaguzi mkuu
Na bado tutasikia na kuona mengi. Mungu awasimamie wakenya

What goes around always comes around
 
Ni kuwaombea wawe na Amani.. wanasema kama kwa jirani hakuko salama usije ukadhani na wewe uko salama.. Leo kwao kesho kwako
Nashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbili
 
Tulisema humu JF,lazima kenya kiwake,wapi Mk +254?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kweli mashabiki mumesubiri kwa hamu kuona movie ya watu wakichinjana kama mlivyoshabikia hapo Rwanda, lakini naona kama mtaishia kulaumu na kuomba mrudishiwe ada zenu za kiingilio.
Msemaji wa amejibu kwamba yupo kazini na salama....

-------------------------------------------------------

Kenya Defence Forces spokesman Joseph Owuoth has denied family and politicians’ claims that he is missing.

Colonel Owuoth on Tuesday told the Nation that he was OK and “working”.

"I'm okay and I don't know where these reports are coming from. I'm okay and at work," he said.

LEAVE

His reaction came hours after his family claimed they could not trace him.

The family also claimed Colonel Owuoth had been sent on compulsory leave for confirming a controversial military document publicised by the opposition last week.

Early Tuesday, his sister Elizabeth told the Nation she last spoke to him on phone on Monday morning but could no longer reach him.

And when informed about the Nation talking to her brother, Elizabeth said: "Where is he? Can you tell me where I can find him?"

She spoke a day after a group of opposition National Super Alliance (Nasa) politicians called a press conference to claim Col Owuoth had been suspended from office.

“He was sent on compulsory leave and ordered to go back to his rural Koru home,” claimed Kisumu Senator Anyang’ Nyong’o at a press briefing in Kisumu.

“He was in constant communication with the sister until yesterday when he was in Nakuru. Now the family cannot reach him,” Prof Nyong'o, who is running for Kisumu governor, said.

Despite reports of Col Owuth’s missing, his phone remained on and his WhatsApp was still active by Tuesday morning even though messages sent to the line remained unanswered.

ROW

Col Owuoth planted himself in the middle of controversy after Nasa principals tabled documents alleging the military was planning an operation that could ensure Jubilee remains in power no matter the results of the elections.

The operation, according to documents, include shutting down electricity and water supplies to certain areas, deployment of new recruits to control crowds, deployment of regime friendly commanders and other exercises the opposition claimed would see their supporters choose not to vote.

Col Owuoth later confirmed the documents were genuine but accused the politicians of quoting a legitimate operation out of context to gain political mileage.

Later, though, Defence CS Raychelle Omamo disowned the documents, saying she had not seen them and that the KDF were not plotting anything outside the law.

http://www.nation.co.ke/news/KDF-spokesman-Joseph-Owuoth-not-missing/1056-4040406-24vn8s/index.html
 
Nashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbili

AMANI NI TUNDA LA HAKI VINGINEVO MAJUTO NIMJUKUU
 
Nashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbili
Well said.. vurugu zozote Kenya lazima utaathiri shughuli nyingi sana kwa nchi zote majirani
 
Hizi habari si za kweli huyu jamaa yupo kazini na ameongea
 
Amepatikana ila hawa jamaa mmhhhhh
 
Tuombe Mungu majirani zetu wasije kumwaga damu za watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom