dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Nawatadhalisha Kenya uchaguzi uliopita JK aliwaokoa mwaka huu itawagharimu ndugu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbiliNi kuwaombea wawe na Amani.. wanasema kama kwa jirani hakuko salama usije ukadhani na wewe uko salama.. Leo kwao kesho kwako
Nashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbili
Well said.. vurugu zozote Kenya lazima utaathiri shughuli nyingi sana kwa nchi zote majiraniNashangaa sana watanzania wanaoombea vurugu Kenya kisa mabishano ya hapa JF, tukiacha humanitarian reasons kuwa wananchi wasio na hatia watateseka na kufa, Kenya pia anafanya biashara nyingi na Tanzania...kuna bidhaa za kenya zinauzwa Tz na bidhaa za Tz kuuzwa Kenya, vita inamaanisha ni disruption ya business na kupunguza uchumi wa nchi zote mbili
yule wa juzi kapatikana akiwa hana mikono na mwili umeharika hatari sana hiiAtaonekana kweli huyo mtu?
They apparently have the best constitution in the world. It might save them.Kenya will become next killing fields
Pia inawezekana amerudi kazini baada ya kukubaliana na matakwa ya wakubwa!msando aligomaHizi habari si za kweli huyu jamaa yupo kazini na ameongea
Ni vita ngapi za wenyewe kwa wenyewe zilishaleta unafuu gani ambao haukwepo kwa nchi iliyopigana? Ni maumivu zaidi tu,AMANI NI TUNDA LA HAKI VINGINEVO MAJUTO NIMJUKUU