Ni vita ngapi za wenyewe kwa wenyewe zilishaleta unafuu gani ambao haukwepo kwa nchi iliyopigana? Ni maumivu zaidi tu,
kwanini odinga asikubali kushindwa?mi simtaki tena raila.kwa sababu ya maguHawa lazima wachapane, Kenyata kubali kushindwa ,hii si dalili nzuri kwa uchaguzi. Raila hatokubali this time. Na hapo ndo wakenya watakapochinjana tena.
Aiseee Wakenya Tafadhali acheni hayo mambo ...duuu
2020 nayaona yakitokea kwetu.
Huku TZ sidhani kama tutafikia hatua hiyo, labda mapebari walioguswa na Magu watie mkono wao.2020 nayaona yakitokea kwetu.
Duuu nishida sana uchaguzi mgumu huo Jirani zetu kenya