Msemaji wa Jeshi la Kenya (KDF) naye adaiwa kutoweka ghafla!

Msemaji wa Jeshi la Kenya (KDF) naye adaiwa kutoweka ghafla!

Status
Not open for further replies.
Aiseee Wakenya Tafadhali acheni hayo mambo ...duuu
 
Ni vita ngapi za wenyewe kwa wenyewe zilishaleta unafuu gani ambao haukwepo kwa nchi iliyopigana? Ni maumivu zaidi tu,

Nikweli lakini bado hoja ya haki yamtu huleta nafuu na aghalabu hupunguza majanga

Umuhimu wa kutenda haki ndio msingi wa amani kwetu sote.
 
Hawa lazima wachapane, Kenyata kubali kushindwa ,hii si dalili nzuri kwa uchaguzi. Raila hatokubali this time. Na hapo ndo wakenya watakapochinjana tena.
kwanini odinga asikubali kushindwa?mi simtaki tena raila.kwa sababu ya magu
 
Afrika huenda iko katika kinyany'anyiro cha kwanza kuwa sehemu ya Kuogofya mno duniani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom