Msemaji wa klabu kubwa nchini Ahmed Ally nae atoa ya moyoni

Msemaji wa klabu kubwa nchini Ahmed Ally nae atoa ya moyoni

Ila ukifatilia kiundani utaona hilo jina la mbumbumbu lipo Simba kimakosa.

Imagine Club ambayo ilijipanga kuandanama kwenda kwa Mama kulalamikia waamuzi pamoja na TFF

Imagine sakata la Feisal kuna mashabiki wametengeneza mgomo baridi wa kususia products za Azam

Imagine mmemtimua Saido kwa madai ya nidhamu mbovu halafu at the same time mkaenda kumsajili Morisson

Imagine hayo yote ya kweli niliyokuambia halafu ukayapinga kwasababu tu ya ushabiki, huoni kwamba kwa kufanya hivyo ni zaidi ya umbumbumbu?
Utopolo ni zaidi ya mbumbumbu yaani ni mamburula
 
Leo nimepata network huku kijijini nimekutana na hii nimecheka sanAaa
Dogo walimvalisha mkoti huoo na ile miwani 😀 😀 😀 😀 dAaah
 
Hapana! Mimi ni Mwananchi halisi.
Jamani utopolo maskini hawana pesa wananyanyasika
Screenshot_20221224-224930.jpg
 
Dharau zilizidi kiwango,dah
 
Hapana! Mimi ni Mwananchi halisi.
Jambo moja lililomkimbiza ukiacha lile la kuvalishwa mkoti wa mandonga mtukazi na darubini,inasemekana kuna siku manara na injinia walifika kimbiji kambini wakamtuma mikate,alimind sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamaa moja lililomkimbiza ukiacha lile la uvalishwa mkoti wa mandonga mtukazi na darubini,inasemekana kuna siku manara na injinia walifika kimbiji kambini wakamtuma mikate,alimind sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Viongozi wenu huwa wanajivunia sana kuwa na mashabiki wa aina yako.
 
Back
Top Bottom