Ila ukifatilia kiundani utaona hilo jina la mbumbumbu lipo Simba kimakosa.
Imagine Club ambayo ilijipanga kuandanama kwenda kwa Mama kulalamikia waamuzi pamoja na TFF
Imagine sakata la Feisal kuna mashabiki wametengeneza mgomo baridi wa kususia products za Azam
Imagine mmemtimua Saido kwa madai ya nidhamu mbovu halafu at the same time mkaenda kumsajili Morisson
Imagine hayo yote ya kweli niliyokuambia halafu ukayapinga kwasababu tu ya ushabiki, huoni kwamba kwa kufanya hivyo ni zaidi ya umbumbumbu?