Akaonyesha ❌Msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa maneno mengine Mkuu wa Mkoa ndiye Mwakilishi wa Rais katika Mkoa ule ni kama maneno hayo alimuelekezea Mhe. RaIs. Nashauri viongozi wa Yanga mkae naye na apewe onyo kwa maneno anayoyatoa ambayo hayana maana. Heshima ni kitu cha bure ni vema akaonyesha heshima mbele ya wakubwa wake.
Utakuwa ndo wewe hapo. JirekebisheSasa kama Mkuu wa Mkoa mwenyewe ameamua kujigeuza kuwa kituko na pia mchekeshaji, shida iko wapi kwa huyo Ali Kamwe kumpa haki yake anayostahili? Huyo Mkuu wa Mkoa hawezi kuheshimiwa, kama yeye mwenyewe tu hajiheshimu.
Mambo ya kufanywa na Christina Mwagala, ameona ayafanye yeye! Hivyo anastahili kabisa kudharauliwa, na pia kukejeliwa ili siku nyingine ajifunze kuweka mipaka kati ya ushabiki na hicho cheo chake.
Hata Samia ni kituko na mchekeshaji je mmewahi kutomheshimu?Sasa kama Mkuu wa Mkoa mwenyewe ameamua kujigeuza kuwa kituko na pia mchekeshaji
Mumshauri Mkuu wenu wa Mkoa asijisahau! Hata kama yeye anajitambulisha/mnamtambua kama mlezi wa timu, bado haimpi haki ya kujiingiza kwenye siasa za mpira! Halafu ategemee kuachwa tu hivi hivi, eti kwa sababu ni Mkuu wa Mkoa.Hata Samia ni kituko na mchekeshaji je mmewahi kutomheshimu?
Wasira naye hivyo hivyo...
Sema tu RC Chacha sio mtu wa visasi japo anao uwezo wa kumlaza sero huyo dogo wenu mbulula.
Msaidieni kijana awe na adabu kwa wenye mamlaka kabla hajakutana na mwenye mamlaka kichaa wa kumlaza lockup
Tumewndekeza sana hao bijanaMsemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa maneno mengine Mkuu wa Mkoa ndiye Mwakilishi wa Rais katika Mkoa ule ni kama maneno hayo alimuelekezea Mhe. RaIs. Nashauri viongozi wa Yanga mkae naye na apewe onyo kwa maneno anayoyatoa ambayo hayana maana. Heshima ni kitu cha bure ni vema akaonyesha heshima mbele ya wakubwa wake.
Use your common sense before you comment something, ok?Utakuwa ndo wewe hapo. Jirekebishe
Swali fikirishi kwanini walizuia amsha amsha, (vibe) la mzuka wa mashabiki wa yanga? Sinto fahamu itakuwa ilianzia hapoMsemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa maneno mengine Mkuu wa Mkoa ndiye Mwakilishi wa Rais katika Mkoa ule ni kama maneno hayo alimuelekezea Mhe. RaIs. Nashauri viongozi wa Yanga mkae naye na apewe onyo kwa maneno anayoyatoa ambayo hayana maana. Heshima ni kitu cha bure ni vema akaonyesha heshima mbele ya wakubwa wake.