towashi wa kushi
JF-Expert Member
- May 15, 2024
- 332
- 729
Wacha tuone sasa...😂😂💚💛Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863
Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.
League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.
Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
Kufanya nini? Wewe ndio utawalipia gharama za kwenda huko kwa kukimbizana?Hawa wataongea wee mwisho wataenda Arusha
Waihairisha hii game... Itafanywa kiporoPicha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863
Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.
League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.
Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
Zitalipwa na TFF.Kufanya nini? Wewe ndio utawalipia gharama za kwenda huko kwa kukimbizana?
Sisi wananchi kombe la FA ni letuYetu macho ila chochote kitakachotokea Simba ndie atakae pewa ushindi
Tff kwa Sasa inapambana kwa udi na uvumba kuhakikisha Azam anachukua kombe la FA
Vita nje ya uwanja ni kubwa sanaSisi wananchi kombe la FA ni letu
WamechelewaVita nje ya uwanja ni kubwa sana
Wao wanataka mgawanyo Kila mmoja apate
Mnatia aibu sana Mikia,yaani nafasi ya pili ndio mnafanya figisu za wazi namna hiiAcha waruke ruke mithili ya maharagwe ambayo hayajaiva ila mwisho wa siku tarehe 25 watakuwa dimbani wakila matapishi yao pale Arusha
Walipoenda kucheza na Kagera Sugar kule Bukoba, ni nani aliyegharamia safari na accomodation yao?Nani ata gharamia safari na accomodation ya KMC wakiwa Arusha?
Story zitakuwa nyingi, lakini ukweli ni kwamba inatafutwa namna Simba ikae nafasi ya pili, na kwa bahati mbaya, bahati haipo upande wa SimbaMnajisumbua bure tu na habari zisizo na uhakika. Jana Afisa habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, akihojiwa na Oscar Oscar ktk kipindi cha jioni cha wasafi, ameelezea kila kitu. Simba wapo sahihi kabisa na hakuna kanuni yoyote waliyokiuka. Taarifa zilitoka mapema na KMC walifikishiwa taarifa na wakakubali. Wala Bodi ya Ligi haikuwahi kupokea taarifa ya kutumika kwa uwanja wa Meja Isamuyo ktk mechi ya tarehe 25 kati ya Simba na KMC.
Huyo Chukuchuku, Afisa habari wa KMC huenda hakupata taarifa kutoka kwa uongozi wake. Nimeshindwa kuweka link ya kipindi cha jana kinachoitwa "Jana na Leo" cha Wasafi. Itafute Utube.