Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

Wataimba ngonjera nyingi sana lakini mwisho wa siku lazima wachague kwenda Arusha au kumpa Simba point za mezani
 
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863

Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.

League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.

Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
Safi sana KMC. Simameni kwenye kanuni. Msikubali wahuni/ wababaishaji kupewa nafasi ya kuonesha huo uhuni/ubabishaji wao.
 
Wataimba ngonjera nyingi sana lakini mwisho wa siku lazima wachague kwenda Arusha au kumpa Simba point za mezani
Ndivyo itakavyokuwa. Nmeckiliza vipindi vya michezo kwenye Radio tofauti leo lakini sijakutana na hayo yanayosemwa mitandaoni. Ratiba zote hazina Uwanja wa Meja Isamuyo...ni mitandao tu.
 
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863

Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.

League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.

Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
hajui sheria wala kanuni za tff na bodi ya ligi
 
Mnajisumbua bure tu na habari zisizo na uhakika. Jana Afisa habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, akihojiwa na Oscar Oscar ktk kipindi cha jioni cha wasafi, ameelezea kila kitu. Simba wapo sahihi kabisa na hakuna kanuni yoyote waliyokiuka. Taarifa zilitoka mapema na KMC walifikishiwa taarifa na wakakubali. Wala Bodi ya Ligi haikuwahi kupokea taarifa ya kutumika kwa uwanja wa Meja Isamuyo ktk mechi ya tarehe 25 kati ya Simba na KMC.
Huyo Chukuchuku, Afisa habari wa KMC huenda hakupata taarifa kutoka kwa uongozi wake. Nimeshindwa kuweka link ya kipindi cha jana kinachoitwa "Jana na Leo" cha Wasafi. Itafute Utube.
Rafiki yangu ni kweli nimekuelewa Ila Utube ndiyo wapi Kaka mkubwa?
 
Sio fair . TFF na bodi ya Ligi itoke kwenye usimba na yanga . This is embarrassing .

Tunasema bodi ya Ligi wamejaa Machawa na wanasiasa wajingajinga tu
 
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863

Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.

League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.

Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
MAKOLO wanahitaji goli tano ili wamfikie azam, kama KMC atagoma hii mechi MAKOLO watapewa point 3 na goli 3 which means KAMA azam atashinda mechi ya mwisho basi MAKOLO nafasi ya tatu inawahusu!
 
With jkt they will win in less that 2 goals . Deficit will be 3 goals . Which could be reached in the last match .
 
1000101760.jpg

Hii ndio Tanzania
 
Back
Top Bottom