Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

Wataimba ngonjera nyingi sana lakini mwisho wa siku lazima wachague kwenda Arusha au kumpa Simba point za mezani
 
Safi sana KMC. Simameni kwenye kanuni. Msikubali wahuni/ wababaishaji kupewa nafasi ya kuonesha huo uhuni/ubabishaji wao.
 
Wataimba ngonjera nyingi sana lakini mwisho wa siku lazima wachague kwenda Arusha au kumpa Simba point za mezani
Ndivyo itakavyokuwa. Nmeckiliza vipindi vya michezo kwenye Radio tofauti leo lakini sijakutana na hayo yanayosemwa mitandaoni. Ratiba zote hazina Uwanja wa Meja Isamuyo...ni mitandao tu.
 
hajui sheria wala kanuni za tff na bodi ya ligi
 
Rafiki yangu ni kweli nimekuelewa Ila Utube ndiyo wapi Kaka mkubwa?
 
Sio fair . TFF na bodi ya Ligi itoke kwenye usimba na yanga . This is embarrassing .

Tunasema bodi ya Ligi wamejaa Machawa na wanasiasa wajingajinga tu
 
MAKOLO wanahitaji goli tano ili wamfikie azam, kama KMC atagoma hii mechi MAKOLO watapewa point 3 na goli 3 which means KAMA azam atashinda mechi ya mwisho basi MAKOLO nafasi ya tatu inawahusu!
 
MAKOLO wanahitaji goli tano ili wamfikie azam, kama KMC atagoma hii mechi MAKOLO watapewa point 3 na goli 3 which means KAMA azam atashinda mechi ya mwisho basi MAKOLO nafasi ya tatu inawahusu!
With jkt they will win in less that 2 goals . Deficit will be 3 goals . Which could be reached in the last match .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…