Msemaji wa M23: Hatujashirikishwa katika Mazungumzo ya Amani Nairobi hivyo Kipigo kitaendelea huko Congo DR

Msemaji wa M23: Hatujashirikishwa katika Mazungumzo ya Amani Nairobi hivyo Kipigo kitaendelea huko Congo DR

Safi watakula kipigo hadi wasambaratike kama mwaka ule!Wasituletee ujinga wao hapa! Ni kula mitalimbo tu, hakuna dawa nyingine! Nyoko zao hao!
Una uhakika Kichwani mwako zimetimia?
 
GENTAMYCINE naungana nao M23 kwa huu Uamuzi wao kwani ni Upumbavu na Chuki kufanya Mkutano wa Amani ya Congo DR huku wenye Madai yao Waasi wa M23 wakibaguliwa na kutoshirikishwa ili Kusikilizwa na Kumalizana nao.
MADINI hayajawahi kunuacha ntu salama yaan Jamaa vita yooote kumbe wanagombea UTAJIRI wa MADINI uliopo North Kivu, acha zipigwe tuone nani atachukua ndoo ya MADINI North Kivu
 
Sawasawa napanya road,aombe kushirikishwa na polisi,juu ya adhabu anazopewa
 
Kenya upande wa Mpaka wao wa Migori kuna Wajaluo kama ilivyo kwa upande wa Tanzania katika mpaka wao wa Isebania.

Swali Kwako...Je, Siku Wajaluo wa Kenya ( Migori ) wakianzisha Vita na Serikali ya Kenya mtasema kuwa Tanzania inawasaidia kwakuwa na huku pia Wajaluo wako?

GENTAMYCINE nikiwadharau wengi Wenu hapa JamiiForums na Kuwaambieni kuwa hamna Akili mnachukia na Kunikasirikia wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa niko sahihi 100%
Silaha zinapita wapi hali congo hawana viwanda
 
Sawasawa napanya road,aombe kushirikishwa na polisi,juu ya adhabu anazopewa
Watanzania wenye Akili ni Wachache mno ila Fools kama Wewe ndiyo mmejazana na ndiyo maana Mnasagwa hovyo na CCM pamoja na Serikali yake kama Ng'ombe Pori na kwa Upuuzi huu kama wako mnastahili kufanyiwa hivyo.
 
"Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille Ngoma Msemaji wa Kundi la Waasi wa M23.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

GENTAMYCINE naungana nao M23 kwa huu Uamuzi wao kwani ni Upumbavu na Chuki kufanya Mkutano wa Amani ya Congo DR huku wenye Madai yao Waasi wa M23 wakibaguliwa na kutoshirikishwa ili Kusikilizwa na Kumalizana nao.
Wasubiri kichapo TU mkuu. Hawa wanajeshi wa Rwanda wanaojiita m23 watu washachoka nao sasa hivi kuna mtu wanamlia timing
 
"Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille Ngoma Msemaji wa Kundi la Waasi wa M23.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

GENTAMYCINE naungana nao M23 kwa huu Uamuzi wao kwani ni Upumbavu na Chuki kufanya Mkutano wa Amani ya Congo DR huku wenye Madai yao Waasi wa M23 wakibaguliwa na kutoshirikishwa ili Kusikilizwa na Kumalizana nao.
We jamaa nae akili yako unaijuaga mwenyewe
 
Genta me basha ujue umetaja kinyesi hapo mkwasa umesimama aisee nakufuata dm aisee
Utanitafuta PM ili unipe 'Nukudi' yako iliyochoka kwa 'Mikurudungu' ya maana Kukuingia ili yakutoke vizuri au?
 
Changamoto ya Congo ni kubwa sana zaidi ya watu wanavyofikiri. Na pengine isije kupata suluhisho abadani. Siongelei Congo dhidi ya M23 bali Congo kwa ujumla.
 
🤣🤣🤣🤣
Unavyoweka muda wako vizuri wa Kuvizia kila Thread yangu ninayoianzisha hapa JamiiForums au Post ninayoichangia ili uje Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia ukiwa na Lengo la Kuuchafua Uzi wangu kwa Majibizano yetu yenye Maneno Makali ( ukiwa na Agenda yako Maalum ) ni Kielelezo tosha kuwa Unanifuatilia, Unanikubali na unateswa mno na Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa.

Kabla ya Kuuanza huu Mkakati wako wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu dhidi yangu nilikuwa na Jumla ya Followers 117 ila baada ya Kuuanzisha huu Mkakati wako huku mara nyingine ukitumia Multiple ID's zako umenisaidia kuwa na Jumla ya Followers 125 sasa hivyo Nikushukuru kwa Kusaidia Kunipaisha hivi GENTAMYCINE hapa JamiiForums sawa?

Mwisho nikuambie kwa Kukusaidia kuwa Nishambulie uwezavyo, Nidhihaki uwezavyo na Nitukane uwezavyo ila kamwe hutoweza Kuipunguza Kasi yangu, Kuushusha Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums na kunifanya nisiwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi nilivyo.

Ushauri wangu mkubwa Kwako kila ukiwa unampigia Goti Mwenyezi Mungu jitahidi sana Umlalamikie ni kwanini hakukubariki na Shani ( Tunu ) nyingi ambazo amenibariki nazo Mimi GENTAMYCINE ikiwemo ya kunipa hii 'Natural Charm' niliyonayo ambayo ndiyo inakutesa Wewe na Wapumbavu wenzako Wote mnaonichukia hapa JamiiForums utadhani labda nimeshawahi Kulala na Mama zenu Wazazi au hata Kuwaingilia Kinyume na Maumbile ( Kuwanukudi ) hivyo nyie Watoto zao mna Hasira na Machungu nami.

Sadism is inevitable when the situation is alarming.
 
Tshesekedi ameamua kuwa na akili kama za Mobutu, dawa yake ni kuchapa mpaka kinshasa na kumtoa yeye kwanza
Mimi ningewasapoti kama mngekuwa mnawachapa wanajeshi wa Congo. Tatizo lenu mnaua raia wasiyo na hatia, hasa watoto na wanawake ambao hawawezi kujitetea. Hivi nguvu zenu ni kuawa watoto. Mbona sijasikia M23 wameteketeza ngime ya jeshi la Congo?
 
Badala ya kujadili mada,
tunasoma matusi yenu,
Nyie watu wazima,Behave Basi[emoji3525]
 
"Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille Ngoma Msemaji wa Kundi la Waasi wa M23.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

GENTAMYCINE naungana nao M23 kwa huu Uamuzi wao kwani ni Upumbavu na Chuki kufanya Mkutano wa Amani ya Congo DR huku wenye Madai yao Waasi wa M23 wakibaguliwa na kutoshirikishwa ili Kusikilizwa na Kumalizana nao.
wanaongea hivyo kwasababu ya kiburi, wangekuwa wamepokea kipigo cha mbwa koko wasingeongea icho kitu. kenya hawana uwezo kuwafanya chochote, wala burundi.
 
Back
Top Bottom