Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine

Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine

ila kweli.ujue mamluki wengi wanapigana upande wa Ukraine
 
Mzee wa moscow kuishiwa bidhaa supermarket [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]. Unashuka na nyuzi 10 kwa siku. Ila ni kweli Ukraine imeshinda vita... viva Zelensky viva US viva NATO.

Nakukubali mkongwe wa JF unashusha nondo si mchezo.. we jamaa ni genius. Wasalimie hapo Moscow
 
Kwa taarifa yako viongozi wandamizi kuanzia Putin hawatumii mitandao ya kijamii kama wewe zuzu uliyetoa habari hiyo
 
Back
Top Bottom