Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
 
Huu mgogoro unaweza usiwe na nguvu kabisa. Serikali ya Tanzania ilinunua ndege kutoka kampuni ya Bombadier, kwa hiyo serikali bado inaingojea Bombadier iwasilishe ndege hiyo kwa serikali. Sasa iwapo ndege imekamatiwa huko Canada kiliko kiwanda cha Bombadier kabla haijawasilishwa kwa Tanzania, basi hilo ni tatizo la Bombadier yenyewe siyo la serikali ya Tanzania. Mgogoro huu wa Bombadier unaweza kuwa umechangnywa na ule wa makinikia kama namna ya kuiokomoa Tanzania kwa sababu ndege za kwanza zote ziliwasilishwa bila kipinganimzi chochote.

Kuhusu Lisu kutoa ushauri kwa makampuni ya nje kukamata mali za serikali ya Tanzani kweli ni kitendo cha ajabu sana kwa mtanzania. Katika dunia ya biashara, ".. you get what you negotiate for, not what you deserve...." Kwenda kuwaamsha kuwa kamata ndege ili etyi ulazimishe serikali ya Tanzania ikulipe ni jambo la aibu sana kwa mwanasiasa wa kitanzania.
Unapoona principals wote wa kampuni hiyo wana email za yahoo.com, halafu eti uambiwe hiyo ni kampuni ya kimataifa ni lazima uwe na wasiwasi na uwezo wao.

Mext time, Magufuli usitumie fedha za umma kununua kitu kitu chochote kutoka Canada!
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Ngoja nisikilize wanavyokujibu maana umeuliza maswali kama wale vijana wa udom
 
Serikali Yetu Ina Viongozi Wajeuri Sasa Kama Wanataka Solution Si Wamtafte Lakini Kutokana Na Ujeuri Wao Hawatamfuata
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Acha porojo, lipa deni, LIPA DENI, LIPA DENI, LIPA DENI
 
It dosn't matter. Jibu hoja kwa hoja
 
WATANZANIA(wanaojitambua na wasiojitambua). Tena, ninahisi, kama wewe ungekuwa na nyadhifa alizonazo Mh. Tundu, na tena ukawa na akili izo hizo ulizonazo sasa hivi; "UNGELALA USINGIZI", wala usingejisumbua na hali inayoendelea nchini. Great Thinker!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatetea maslahi ya taifa.

Anawafundisha ,anawaonya ,kabla ya tatizo .lakini hawamsikiliz kwasababu tu,sio mwana ccm,likitokea tatizo wanamuit a msarti.
Huu ni ujinga wa siasa na viongazi wa Africa pekeake.

TUSITEGEMEE VIWANDA HAPA,LABDA TUENDELEE KUZINDUA VILIVYO ZINDULIWA.
 
Nadhani lissu ndio mtetezi kwa watanzania dhidi ya wazembe na wajinga wanaotuletea hasara wananchi kila uchao. Mwenyezi Mungu naomba umlinde Tundu Lissu Amen.
 
Mi nawashangaaa sana watu km hawa, na huenda ni sababu ya kwa nini tunamatatizo lukuki tunashindwa yatatua na kuamini kuwa wazungu wana akili, hivi badala ya kuhoji chanzo unaumiza kichwa kumbabadua TL? Mbona hamhoji aliyechukua maamuzi yaliyoleta haya matokeo?
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Sijui kwanini kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi kubwa awamu hii!
 
Back
Top Bottom