Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

Suluhisho alitoa, Alisema mikataba iende bungeni ifutwe kwanza then ndiyo serikali ianze kudeal na madini, hawakumsikiliza
Unataka atoe suluhisho gani? Na hata ilivyopelekwa bungeni wamejadili kwa hati ya dharura kwa speed ileile ya wakati wanaisaini unategemea nini? au uoni bunge linavyoendeshwa?
 
Hawatakiri na wala hawaoni kosa walilofanya. Kujitakasa wanamlaumu Tundu Lissu kwa kutoa 'siri', na sasa anatafutwa aliyempa T.L. hiyo 'siri'

As if hiyo kesi ilikuwa siri!
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
kwanini huko lumbumba msikae pamoja mkajadili nyuzi (hoja) zenu mziunganishe ndipo mlete moja hapa jukwaani. Kwani haipiti muda mmeshapandisha uzi wa tundu lisu na bombadier. Au kuna mashindano ya nyuzi za lisu
 
Majibu ya hoja yangu yanadhibitisha mtazamo hasi na kukataa tamaa upande wa pili wa jamii yetu. Kwamba tunawaza kisiasa zaidi kuliko kimkakati kuelekea mageuzi ya kiuchumi.
 
Unganisheni nyuzi zenu, zimekuwa nyingi mno zinazomuongelea lissu badala ya kujadili hoja aliyoitoa (kukamatwa kwa bomberdier)
 
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?
Kukosolewa na kupongezwa ni kitu cha aina moja..watawala wakubali kukosolewa

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?
Utakuwa hutaki kumsikiliza Lissu..Always Lissu huwa anatoa the way Forward..Usihadithiwe...kamsikilize tena.
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Waulize wanao mzomea bungeni anapopinga miswada inayoweza tuletea matatizo mbele, na baadaye yakitokea matatizo akiwakumbusha wanasema siyo mzarendo
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Tushaambiwa kuwa ni mmoja wa Director wa kampuni ya uwakili inayowakilisha hao wanaotudai deni feki la kutengenezwa na hiyo kampuni baada ya kututengenezea barabara chini ya kiwango

Hivyo jibu ni hayuko kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya hao majizi wanaowawakilisha na tumbo lake
 
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Mbona unalimit watu kujibu swali lako? Inawezekana jibu si mojawapo ya hayo uliyoyataja hapo juu. Mie naona ni kwa maslahi ya HAKI. Kosa libakie kuwa kosa hata kama limefanywa na mkubwa yeyote.
 
Unganisheni nyuzi zenu, zimekuwa nyingi mno zinazomuongelea lissu badala ya kujadili hoja aliyoitoa (kukamatwa kwa bomberdier)
Huyu Lissu yupo Tanzania cha ajabu vyombo vya habari sijui vimepatwa na nini. Wangemualika kwa mfano vipindi vya TV wamhoji na wananchi waulize maswali. Longo Longo ingeisha. Kwa mbali naona wanaogopa sijui wanamwogopa yeye au wanaogopa yale atakayosema au wanamwogopa yule jpm ( jamaa pale magogoni ).
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.

Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?

2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?

3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?

HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu lissu anatetea maslahii ya kitaifa na analofanya ni kutunabahisha kwamba serkali hii imeamua kututia katika matatizo ya mikataba ya kimataifa tundu lissu na wabunge wenzake wa upinzani walipinga sana mikataba hii ya siri ya wizi na ya kitapeli na tundu lissu akawaambia kwamba hii mikataba ukeshajifunga si rahisi kujitoa wakataka hata mikataba ijadiliwe bungeni serikali ya ccm ikakataa kwa kujuwa kwamba wananufaika na hiyo mikataba feki hatuna haki kabisa kuhoji uzalendo was lissu kwanza tuhoji uzalendo wa hao waliotufikisha hapa alilofanya tundu lissu ni kutuonesha hali halisi inavyokuwa ukiingia mikataba ya kifisadi na bado tutashuhudia mengi namna hiyo mpaka kufikia 2020.
 
Back
Top Bottom