Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

13417587_10209522243122246_1272559798706234154_n.jpg


 
Ukiangalia tamko la Lissu alilotoa majuzi, utajua yeye ana ndimi mbili. Moja ni mbinafsi na pili ni mroho.

Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.

Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.

Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.

Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
Nmpongeza Lissu kwa kutupa ukweli kuhusu mali yetu! dawa ya deni kulipa!
 
Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
hahahahahah....Wewe CCM ya CHADEMA Yanakuhusu nini????

Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.

Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.

Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
hahahahha...frustrations zako tu..pole
 
Ninyi mnaojitambulisha kwa vyama ndo mnafanya kazi za kinafiki. Siku ikifika mtageukana tu. Katika usajili huu ndo mwanza wa kuua chama.
lowassa1.jpg



hahahahahah....Wewe CCM ya CHADEMA Yanakuhusu nini????


hahahahha...frustrations zako tu..pole
 
Mi nlishasema kuliko watoto wangu waje kusoma Phd,ntachana vyeti vyao wote wasiwe na sifa kabisa.Bure kabisa hawa Phd Holder wa hii nchi.
Acha wivu wa kishamba wewe. Unadhani kumchukia aliyeenda shule ndio kutaondoa UPUMBAVU ulionao? Una mamlaka gani ya kuchana cheti cha mtu aliyezidi 18yrs (coz huwezi pata PhD chini ya umri huo) in the name of MWANAO
Hivi Tundu Lissu mwisho wake ni Masters tu!!! Watu wanaposema msomi, msomi nilifikili alishapata na PhD! Ala kumbe! Oh Poor Tundu Lissu - Msomi (Masters)! Akipata PhD si tutakwisha.
Huu sasa ni utapiamlo wa akili. Hivi unadhani hiyo Ms. ni elimu ya kawaida sana eeh, kwamba PhD ndio ina thamani zaidi. Jamani kichwa kina kazi nyingi, co tu kubeba macho yakusaidie kuona unapovuka barabara
 
Acha wivu wa kishamba wewe. Unadhani kumchukia aliyeenda shule ndio kutaondoa UPUMBAVU ulionao? Una mamlaka gani ya kuchana cheti cha mtu aliyezidi 18yrs (coz huwezi pata PhD chini ya umri huo) in the name of MWANAO

Huu sasa ni utapiamlo wa akili. Hivi unadhani hiyo Ms. ni elimu ya kawaida sana eeh, kwamba PhD ndio ina thamani zaidi. Jamani kichwa kina kazi nyingi, co tu kubeba macho yakusaidie kuona unapovuka barabara

Mkuu kwenye akili yako kuna chochote kweli?Nani amesema anamchukia aliye na elimu?Na wewe kwanza unajua elimu yangu?Ilo povu lako kalowekee nguo za Bashite.Phd ina manufaa gani kama wenye nazo ndo hao hawajielewi.
 
Lissu ni tundu la choo ya shimo ya stand. ******, mpumbavu, kichaa, mkuda, tahla, fala

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ungekuwa wewe ndio Lissu, or ni baba/kaka yako halafu unaona mtu anatumia maneno magumu kama ulivyofanya sijui ungejisikiaje. Ushabiki wa kisiasa usitufanye tuanze kuwavua nguo wanasiasa wa TZ. Kumbuka kuna maisha nje ya siasa. Think (twice) b4 u do!
 
Mkuu kwenye akili yako kuna chochote kweli?Nani amesema anamchukia aliye na elimu?Na wewe kwanza unajua elimu yangu?Ilo povu lako kalowekee nguo za Bashite.Phd ina manufaa gani kama wenye nazo ndo hao hawajielewi.
Siwezi kulumbana nawe coz hizo posts zako 2 zimeshaniambia nazungumza na mtu wa namna gani. Tchao
 
Kila madai ni lazima tuyafanye kwa kuzingingatia sheria inayohusika na jambo husika unalolilalamikia, na sehemu peekee inayotoa haki ni mahakani pekee. Ina inaweza kuwa mahakama ya ndani ya nchi, nje ya nchi au ya kimataifa. Inawezekana ukawa na haki lakini kama usipofuata sheria haki yako hiyo inaweza kugeuka zimwi kwako.

Mh. Tundu Lissu anachosisitizia tangu jana, leo na kesho ni kufanya, kudai, kutoa, na kupokea kitu chochote kwa kufuata sheria husika na kanuni zake ili huko mbele tusikwame kama taifa, kama taasisi na kama mtu mmoja mmoja.

Yako mataifa ambayo yana ubavu wa kuweza kufanya, kupitisha, kupiga, kudai mambo yake bila kufuata sheria lakini Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo. Uchumi wetu na mambo yetu yote hayaruhusu kufanya mambo bila kuzingatia sheria za nchi na za kimataifa. Na kwabahati mbaya sheria zote za kimataifa huwa zinawalinda wakoloni wetu wa zamani. No safe zone, kwa kulijua hilo ndiyo maana Rais mstaafu Jakaya Kikwete akaamua kusema "Usipokubali kuliwa kidogo huli" Hizi maliasili zetu zoooote tulizonazo 'tusipokubali kuliwa kidogo hatuli kabisaaa' hadi wakoloni watakaporudi tena kututawala.

Jitihada hizi za kulinda utu na maliasili zetu hazikuanza leo, lakini zote hazikuzaa matunda. Huko nyumba walijaribu akina Mkwawa, Isike, Rumanyika, Kinjikitile, Mwl. Nyerere, Mzee Mwinyi na wengine lakini hawakufua dafu. Huko kwingineko akina Lybia, Iraq, Saudi-Arabia, Venezuela, Syria, Qatar, Kuwait, DRC, nk maliasili zao zinawacost mpaka kesho.

Ushauri wangu ni kwamba tusinyoosheane vidole wenyewe kwa wenyewe, tusikilize ushauri wa watu wetu bila kujali itikadi zetu mbalimbali ili kupunguza madhara kwa taifa. Hakuna ubishi kuwa wakoloni bado wataziaandama rasilimali zetu na masoko yetu hadi mwisho wa dunia hii. Hatuwezi kusimama kwa kubaguana na kuitana majina mbalimbali wenyewe kwa wenyewe. Kufanya hivyo kunawanufaisha wakoloni kuliko sisi wenyewe.
 
Ndio mawazo ya lissu hayo?
Hivi ndio ninyi mlikuwa mnaimba mabadilikooo!!
 
Back
Top Bottom