KILA MTANZANIA ANATAKIWA KUWA LEVEL YA TUNDU LISSU.
Tanzania ingekuwa kama USA hivi karibuni.
Ila kwakuwa tumekubali kuwakingia kifua wanaoharibu nchi kwa sera zao mbovu na ufisadi acha tuisome.
Lugumi
Radar
Ndege ya rais
Escrow
Richmond
Downs
Iptl
Mishahara hewa
Kesi tunazoshindwa kwenye migogoro ya kibiashara.
Makinikia.
Miamala ya madini.
Ukwepaji kodi.
Pesa za uswisi.
Kashifa za migodi inayofungwa usiku(KIWIRA coal mine)
Meremeta
Epa
Majengo pacha ya BOT.
TUMEINGIZWA MKENGE CCM UKIWAULIZA KWANINI WATASEMA TUNDU LISSU KASABABISHA.
Kwani Tundu Lissu ana nguvu gani hapa Tanzania? Muacheni aishi maisha yake na watu wake wa Singida Mashariki waliotupatia zawadi ya msemaji wetu na mtetezi wa haki zetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app