Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Enzi za mwalimu tundu lissu asingetakiwa kuwepo tena tz, maana huyu ni kibaraka wa wazungu,hv tz ikikosa kununua ndenge tundu lisu anafaidikaje?
 
President
Commander-in-chief of the Armed Forces H.E. Dr. Jakaya Kikwete 2005–
Vice President H.E. Dr. Ali Mohamed Shein 2005–2010
Prime Minister Rt. Hon Mizengo Pinda MP 2008–
President of Zanzibar H.E. Dr. Amani Abeid Karume 2000–2010
Ministers of State in the
President 's Office
Good Governance
Public Service Management Hon. Sophia Simba MP
Hon. Hawa Ghasia MP 2008–2010
2006–2012
Ministers of State in the
Vice President 's Office
Union Affairs
Environment Hon. Muhammed Seif Khatib MP
Hon. Prof. Batilda Burian MP 2008–2010
2008–2010
Ministers of State in the
Prime Minister's Office
Policy, Coordination and Parliamentary Affairs
Local Government and Regional Administration Hon. Philip Marmo MP
Hon. Stephen Wassira MP 2008–2010
2008–2010
Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives Hon. Peter Msolla
MP 2008–2010
Minister of Community Development, Gender and Children Hon. Margaret Sitta MP 2008–2010
Minister of Defence and National Service Hon. Prof.
Hussein Mwinyi
MP 2008–2012
Minister of East African Cooperation Hon. Diodorus Kamala MP 2008–2010
Minister of Education Hon. Jumanne Maghembe MP 2008–2010
Minister of Energy and Minerals Hon. William Ngeleja MP 2008–2012
Minister of Planning and Finance Hon. Mustafa Mkullo MP 2008–2012
Minister of Foreign Affairs and International Co-operation Hon. Bernard Membe MP 2007–
Minister of Health and Social Welfare Hon. Prof. David Mwakyusa MP 2006–2010
Minister of Home Affairs Hon. Lawrence Masha MP 2008–2010
Minister of Industry, Trade and Marketing Hon. Mary Nagu
MP 2008–2010
Minister of Information, Culture and Sports Hon. George Mkuchika MP 2008–2010
Minister of Infrastructure Development Hon. Andrew Chenge MP 2008–2008
Minister of Justice and Constitution Affairs Hon. Mathias Chikawe MP 2008–2010
Minister of Labour, Employment and Youth Development Hon. Prof. Juma Kapuya MP 2008–2010
Minister of Lands, Housing and Human Settlements Hon. John Chiligati MP 2008–2010
Minister of Livestock and Fisheries Development Hon. John Magufuli MP 2008–2010
Minister of Natural Resources and Tourism Hon. Shamsa Mwangunga MP 2008–2010
Minister of Planning, Economy and Empowerment Hon. Juma Ngasongwa MP 2006–2008
Minister of Public Safety and Security Hon. Bakari Mwapachu MP 2006–2008
Minister of Science, Communication and Technology Hon. Prof.
Shukuru Kawambwa MP 2008–2008
Minister of Water and Irrigation Development Hon. Mark Mwandosya MP 2008–2010
Also attending Cabinet meetings (excluding voting rights)
Attorney General Hon. Justice
Johnson Mwanyika 2005–2009

Sent using Jamii Forums mobile app

Bombardier yake Imeshikwa
 
Hizo Pesa Za Kulipa Hilo Deni Zinatoka Wapi Hawa Wasomi Wakina Marehemu Dokta Abdalla Kigoda,muhongo,tibaijuka Na Wengine Wengi Tunayajua Matendo Yao Sasa Bana Mwajiriwa Wa Serikali Pia Kwa Ndumbalo Watamuonea Vipi Huruma Mkulima Anaetozwa Ushuru Wa Hovyo Tofaut Na Soko Lilivyo?
 
Wasomi wajinga hao wanatetea upumbavu ulofanywa na ccm acha wakamate hata ndege ya mkubwa.
 
Hapa utabishana na akili finyu za bavicha, mpaka Mange au lissu awabadilishe mawazo, hapa utatwanga maji kwenye kinu! Hawawezi kufikiri wenyewe kwa akili aliyowapa Mungu!
 
Mwisho wa siku.dawa ya deni ni kulipa.
Wenzenu wapo canada hata kiswahili hawajui wala hawaijui jamii forum.
Sasa mnavyoleta utetezi wenu humu.ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
UZALENDO SI KUKIMBIA MADENI AU KUSABABISHA MADENI,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yao kawalisha matango pori wakaingia mazima.

Mkiamua kushikiwa akili,msiwape vichaa wawashikie.
 
Hao [emoji115] [emoji115] [emoji115] ndy wakilishi wa wasomi Tanzania?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Kweli hatuitakii mema Tanzania yetu.,
Wasomi wasimamie Taifa letu ktk kuhakikisha madeni yanalipwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukosana na Magufuli kwa kukuweweka ndani, lakini kuihujumu nchi kitaaluma ni kosa kubwa sana.
The Empire should strike back!
Wakati wa vita, na hii ni vita ya kiuchumi, watu kama Lisu wanaitwa the 5th Columnists from within.

Kikawaida wakikutwa popote pale ni summary execution!!
Usidanganye watu mkuu.....Vita vipi?...issue imeanza miaka ya 2000 mwanzoni,Kulikuwepo na vita wakati huo?...Je tungelipa 2010 kungekuwepo na vita?....Hivi mabenki yanapotoa majina ya wadaiwa sugu magazetini au dalali anapotangaza publically kuwa nyumba ya flani inauzwa,Waga hawana uzalendo au ni wasaliti?
Hivi mzalendo ni nani?...Ni yule anayepuuza ushauri wa kitaalam na kisheria anaopewa na kuvunja mkataba na kuisababishia nchi hasara au yule anayeoonya kuwa msipofanya hiki na hiki mtaisababishia nchi hasara?.........Yule ambaye alivunja mkataba huo kinyume cha sheria na sasa kaisabaishia nchi hasara ndiye MSALITI,SIYO MZALENDO NA ANASTAHILI KUPATA ADHABU KAMA WALIVYOPATA AKINA MRAMBA NA YONA........
 
Tena hao wasomi ni tatizo ktk Nchi hii. Wasomi hawa ni wanafiki wakubwa Wachumia tumbo waoga hawajiamini wameshindwa kulipa fadhila za wazazi wao vijijini. Wasomi hawa wamekuwa wakiishii Kwa kuangalia upepo kila serikali inayoingia madarakani. Hawa nwamepiga dili Sana ndio waliosaini mikataba ya hovyo ktk Nchi hii. Ndio waliotoa ushauri mbaya mpk Nchi hii ikawa hoi kuichumi. Wasomi wetu ni wasaka vyeo tu angalia wameacha taaluma zao wamekimbilia siasa. Wasomi WA Tanzania Hawana faida kwa Nchi yt ni wanafiki waoga. Hongera tundu lisu na zito kabwe. Wasomi gani nyie mnatumiwa kutukandamiza sisi wanyonge wasomi gani nyie mnatumiwa kuua demokrasia eti mnajiita wazalendo. Wasomi uchwaraa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kubadilisha gia angani. Hoja sio nani alivunja mkataba, hoja je ni kweli mkataba ulivunjwa "kwa kukurupuka" na kusababishia taifa hasara? Then if the answer is yes, huyo aliyehusika achukuliwe hatua hata kama ni Mama Kibonge wa Yombo Buzza. Tuache ushabiki wa kijinga. Tusimame pamoja kama taifa kutetea nchi yetu.

Kama ni kweli mkataba ulivunjwa "kienyeji", wakatushtaki mahakamani tukashindwa, tukakata rufaa tukashindwa, tukagoma kulipa deni tangu likiwa Bil.40 hadi sasa limefika Bil.87 kwanini tunaanza kubishana nani kavunja nani hajavunja.? Haya ni mabishano yasiyo na maana. Letz assume huyo mnayemtaja saivi ndo alivunja mkataba, je inafuta deni la Bil.87 tunazodaiwa? Acheni fikra finyu.!

Ooh sio Magu ni fulani.! So what?? Mkataba uvunjwe na Magu, uvunjwe na Shilole, inatusaidia nini? The point hapa ni kwamba serikali ya CCM imeingiza taifa hasara kwa kuvunja mkataba bila kuzingatia sheria. Issue sio nani aliyevunja, issue ni hasara tuliyopata kama taifa kwa sababu ya maamuzi mabovu.

Just imagine Bilioni 87 zingefanyia nini? Ni pesa ambazo zingetosha kulipia mikopo wanafunzi 48,000 kwa mwaka mmoja. Ni sawa na wanafunzi wote wa UDOM, UDSM, SAUT (na campus zake zote), Mzumbe (na campus zake zote), na SUA. Pesa hii inapotea kwenda kulipa watu kwa uzembe wa kuvunja mkataba kienyeji. Halafu kuna watu wanabana pua bila aibu eti "sio yeye, ni yule". So what?

Nadhani busara ni serikali kuomba msamaha kwa kuingiza taifa kwenye hasara hii kubwa, na kujaribu kuficha suala hili lisijulikane kwa umma. Serikali impongeze Tundu Lissu kwa kuibua suala hili ambalo limetia doa taifa. Halafu imchukulie hatua aliyehusika kuvunja mkataba huo (hata kama ni Mbowe). What matters ni kwamba amechukuliwa hatua bila kujalisha ni nani. Kukaza mishipa ya shingo kusema ni fulani sio fulani, haiondoi ukweli kwamba tunadaiwa Bil.87 na tunatakiwa kuzilipa. Plz take note.!
 
Jambo linalofanywa na wapinzani wa CHADEMA ni la aibu na la paswa kulaaniwa na wa Tanzania wote.

Ikiwa serikali inapambana kutafuta haki ya TAIFA iliopotea kutokana na MIKATABA mibovu inayofanya serikali kupoteza mapato makubwa ambayo ingetumika kuendeleza maendeleo ya nchi yetu katika sekta mbali mbali , Halafu CHADEMA kupitia mwanasheria wake TUNDU LISSU wanaamua kushirikiana kisiri na kampuni ya madini ya ACACIA ili kukitetea kampuni hii iliothibitika imeibia takribani nchi yote ilowai kuwekeza.

Hakika hii inatudhihirishia wazi kwamba siasa zinazoendeshwa na wapinzani wa chadema ni za kutafuta maslahi BINAFSI, ikiwa leo wanapambana kushika dola na wanakubali kupokea rushwa ili watetee ulaghai je , wakipewa nchi hii watakaribisha walaghai wa ngapi hapa nchini?

Au wanasahau kwamba Afrika bado tunayovita ya kupambana na unyonyaji unaofanywa na wazungu?, ndio maana wanapokea rushwa kwao ili kuwatetea?.

Nimeamini siasa zinazofanywa na CHADEMA ni za kutafuta maslahi na wanatumwa na mabepari ,ndio maana mwezi mmoja iliopita huyu huyu lissu aliropoka kwa kauli ya kuwakaribisha mabepari kuingilia mambo ya nchi yetu kwa kutunyima mikopo eti kisa hakuna demokrasia kwa vile anataka anavyoropoka aachwe tu aendelee kuvuruga amani ya nchi ndio atambue kuna demokrasia.

Watanzania lazima tutumie fursa hii kumuunga mkono raisi magufuli kwa mabadiliko makubwa anayoifanyia TANZANIA ,tupuuze ujinga na uropokaji unaofanywa na wapinzani hususani chadema .

Hawa wapinzani hawatakii mema nchi yetu ndyo maana kila juhud za kuleta maendeleo katika nchi hii inakuwa kikwazo kwao .

Magufuli piga kazi hata wakikupinga wote , siye wanyonge tunaotambua USAWA ULIOLETA KATIKA NCHI HII TUPO NYUMA YAKO na sisi ndio wapiga kura tuliokuchagua kwani Wengine hao wanakelele zinazoashiria kusaka tonge .

We are happy today because our today was made yesterday , we will be happy tomorrow if our tomorrow is made today.

By George peter from udom
 
Tanzania ina wasomi wa hovyo sana mpaka imefika wakati mtu unaogopa hata kujitambulisha kwa uma kwamb una phd, siku hzi mtu mwenye degree, masters na phd anazidiwa mawazo na mtu asiye na elimu.
 
Back
Top Bottom