Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.
Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.
Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.
Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.