Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.

Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.

Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Ta.

Naomba quotes za TL za kuituhumu, kubeza, kuikejeli nchi. Kweli ni lazima nchi ikiwa na matatizo, mzalendo anapaswa kuwa upande wa nchi, lakini si upande wa yule aliyesababisha matatizo. Na naamini ndivyo TL alivyo.
 
Maendeleo ya kweli tutaanza kuyapata pale watu dizaini ya huyu mtoa uzi, watakapokuwa wameshaisha hapa Tanzania..
 
Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.

Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.

Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.

Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.
Kwani kafanyaje huyo Lissu.

Sent from my SM-G610F using Tapatalk
 
Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.
HOJA inajibiwa kwa hoja si vinginevyo...Hhahahahahaaha...
 
Lini mmechukua ushauri wake wowote anaoutoa bungeni? Kila akishauri mnaishia kumkejeli na kumtukana. Leo yamewakuta ndio mnataka ushauri wake!!!!!

Kweli Tz hauachi kushangaa!!
 
Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.

Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.

Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.

Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.
Aliwashauri tufuate sheria tunaposhughulikia Mikataba vinginevyo tutanyolewa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada nilianza kumuona kwenye press wakati yule msanii ROMA anaongea na waandishi wa habari baada ya kutoka mafichoni akiwa na waziri Mwakyembe huyu dada alizomewa baada ya kuonekana anapangua hoja kibabe nikataka kumfahamu zaidi nikagundua ni kaimu mkurugenzi habari maelezo na msemaji wa serikali, kwa sasa mh raisi ameshateua mkurugenzi wa habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali kwa hiyo huyu dada amekuwa mkurugenzi msaidizi wa habari maelezo na msemaji wa serikali msaidizi inasikitisha sana huyu dada anapopewa dhamana ya kuongea kwa niaba ya serikali kwa vitu ambavyo vina maslahi kwa taifa ambapo mara zote huishia kuzomewa na hupatwa na jazba ikiwa ni kiashiria dhahiri kuwa viatu alivyopewa hamtoshi. Tazama video ambatanishi kama moja ya mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Tushaambiwa kuwa ni mmoja wa Director wa kampuni ya uwakili inayowakilisha hao wanaotudai deni feki la kutengenezwa na hiyo kampuni baada ya kututengenezea barabara chini ya kiwango

Hivyo jibu ni hayuko kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya hao majizi wanaowawakilisha na tumbo lake
Hivi kwani kutumia akili ni dhambi wandugu? Hivi huo mkataba usingevunjwa kinyume na taratibu huyo Lissu mngekuwa mnamzungumzia saa hii? Siegemei upande wowote but kwa hoja hizi, TL aachwe kabisaaaaaaaa
 
Huyu dada nilianza kumuona kwenye press wakati yule msanii ROMA anaongea na waandishi wa habari baada ya kutoka mafichoni akiwa na waziri Mwakyembe huyu dada alizomewa baada ya kuonekana anapangua hoja kibabe nikataka kumfahamu zaidi nikagundua ni kaimu mkurugenzi habari maelezo na msemaji wa serikali, kwa sasa mh raisi ameshateua mkurugenzi wa habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali kwa hiyo huyu dada amekuwa mkurugenzi msaidizi wa habari maelezo na msemaji wa serikali msaidizi inasikitisha sana huyu dada anapopewa dhamana ya kuongea kwa niaba ya serikali kwa vitu ambavyo vina maslahi kwa taifa ambapo mara zote huishia kuzomewa na hupatwa na jazba ikiwa ni kiashiria dhahiri kuwa viatu alivyopewa hamtoshi. Tazama video ambatanishi kama moja ya mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepakua hiyo clip. Kweli hapo kiatu vimezidi mguu. Kuwa 'msemaji' huwa inaambatana na hekima na uvumilivu wa hali ya juu coz chochote utakachosema/fanya utakuwa unaonyesa mawazo/hisia za aliyekutuma. So unaweza ukasababisha watu wakamchukulia vibaya aliyekutuma kwa ukosefu wako wa hekima
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Sasa kwanini serikali isiende mahakamani kama kweli ni wanasiasa ndiyo wasababishaji?Je wanasiasa ndiyo mahakama? Hatutaki utani,kama ambavyo serikali yetu ilivyosema kuwa ni wanasiasa ndiyo wasababishaji basis ni swala lakuwapuuza hao jamaa,maana wao si mahakama ,hivyo basi mkachukuwe hiyo ndege.
 
Maamuzi ya kukurupuka serikali iliyofanya awamu ya 4 athari zake zinaonekana leo na kuigharimu serikali mabilioni ya fedha..

Maamuzi ya kukurupuka kwa hii serikali sasa..its unimaginable..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuwaje watu wengine hawana hofu ya Mungu, Ila kila siku wanapiga Kelele, "Jamani Mniombee"

Swala la Bombadier Kukamatwa Canada, Imebainika kuwa ni Kutokana na Deni la Kuwafanyia Undudu Wakandarasi wa Uingereza. Zamaradi Kawawa alitumwa Kuwahadaa Watanzania ati Pangaboi ilizuiliwa Kwa Usaliti wa Lissu!

Bi Zamaradi Kawawa Akimsingizia Tundu Lissu, " Damu ya Lissu Iliyomwagwa na Imhukumu yeye na Waliomtuma.



Tanzanian president asks Trudeau for Bombardier plane back after it’s seized by court
Masikini Wakataka Kumuua, Sasa Ukweli ni Huu Kama Lissu alivyosema Usaliti Wake ulikuwa nini. Pangaboi moja tu Ikija, Makamera ya Kufa Mtu Mtazani Wameleta Boeing 747 au A380. Lakini ikixuiliwa iwe siri kwanini?
 
Mkuu ukweli hata ukifichwa huwa ni kwa muda tu, na wahenga walisema mficha maradhi kifo kitamuumbua na kweli baba jurgen sasa anaumbuka waaaaaazi

Nawashauri fisiem kwa kuwa wana tamaa ya kutawala hata ikibidi wapo radhi kutenda dhambi basi next time waangalie mtu wa kumpitisha
 
Wewe ufanye maamuzi pumba, harafu madhara yake uwasingizie wapinzani wako wa kisiasa. Tangu Lisu amwage damu yake, viwanda vingapi vimejengwa? Maendeleo yamekua kwa kiasi gani? Kesi ngapi zimefutwa?

Hii reasoning ability inalidhalilisha taifa. Eti wanashirikiana na.... kwa kweli nakosa neno la kusema ili kuwakilisha uchungu ninaouona pale tunapolazimishwa kuamini uwongo, na kulazimishwa kushangilia dhurma na umwagaji damu zisizo na hatia. NI LAANA KATIKA ARDHI YETU. BADALA YA KUOMBEA UOVU UENDELEE, TUNAHITAJI KUTUBU KWA AJILI YA TAIFA LETU. VINGINEVYO YAFANYIKAYO LEO, HAYATAACHA TAIFA HILI SALAMA KWA VIZAZI VINGI VIJAVYO.
 
Back
Top Bottom