Wagombea wapimwe vitu vyote mwilini.....afya za mwili mzima....ikiwemo akili na ubongo wake!! Kuna shida mahala fulani....
Hivi mwenda wazimu akiwa anazungukazunguka Nyumba yako utalala?Huyu mtu an anawafanya msilale
kwani nani mteule wa shetani astahiliye kukwamishwa ??Wezi hamlali usiku mnene mnawaza jinsi ya kumkwamisha mteule wa Mungu.
Na kubadilisha bush aliko akiwa kuwe town over night haja lu kama wale wadigo wa Duga wana dawa au hawanaHiyo sentensi nyekundu imebeba,maneno zaidi ya elfu kumi,baba anataka kununua vogue,wakati kipato kidogo,analazimisha,watoto wale viazi vitamu na chai bila sukari,ili adundulize,vogue ipatikane,
Paste zikibana tu utasikia pumba tuBasi makengeza ya chairman ndo yanakufanya usilale
Kosa ni kumbambikia Tundu Lissu kosa lisilo lake na kutaka kuangamiza maisha yake bila hatia!!Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
Bora huyo makengeza lakini smart kwenye brain . Je wewe mlemavu wa akili una faida gani?!Basi makengeza ya chairman ndo yanakufanya usilale
Hivi inakuwaje watu wengine hawana hofu ya Mungu, Ila kila siku wanapiga Kelele, "Jamani Mniombee"
Swala la Bombadier Kukamatwa Canada, Imebainika kuwa ni Kutokana na Deni la Kuwafanyia Undudu Wakandarasi wa Uingereza. Zamaradi Kawawa alitumwa Kuwahadaa Watanzania ati Pangaboi ilizuiliwa Kwa Usaliti wa Lissu!
Bi Zamaradi Kawawa Akimsingizia Tundu Lissu, " Damu ya Lissu Iliyomwagwa na Imhukumu yeye na Waliomtuma.
Tanzanian president asks Trudeau for Bombardier plane back after it’s seized by court
Masikini Wakataka Kumuua, Sasa Ukweli ni Huu Kama Lissu alivyosema Usaliti Wake ulikuwa nini. Pangaboi moja tu Ikija, Makamera ya Kufa Mtu Mtazani Wameleta Boeing 747 au A380. Lakini ikixuiliwa iwe siri kwanini?
Very satirical sio na humaanishi ulichokiandika kwani nafsi yako ipo huku ulikowaita wezi ilihali nawe ni mwizi kwani ni sehemu ya familia ya wezi.Wezi hamlali usiku mnene mnawaza jinsi ya kumkwamisha mteule wa Mungu.
Makengeza yashafanya akili zenu zikawa na makengeza piaBora huyo makengeza lakini smart kwenye brain . Je wewe mlemavu wa akili una faida gani?!
Jaribu kuutumia ubongo wako kwa just 10% tu angalau. Hivi vipaumbele vya nchi hii ni mascrepa ya mapangaboi? Hujiulizi ni % ngapi ya watanzania watazitumia na au kumudu gharama zake? Hizo pesa ni kwanini asijengee bwawa la kufulia umeme ili kila mwananchi autumie? Au ajenge zahanati kila kijiji tutibiwe humo.Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
Hii kauli ni chafu sana, mteule wa mungu asiye na hofu na watu wa Mungu au Mungu gani unamaanisha mkuu?!!![emoji193]Wezi hamlali usiku mnene mnawaza jinsi ya kumkwamisha mteule wa Mungu.
Ndio maana mlishauriwa kuisoma mikataba na kukielewa kilichoandikwa humo badala ya kukurupuka kuivunja! Na unaowalaumu sio walioiandaa wala kushtaki! Muwe mnajiuliza kabla hamjaja kuutetea uzwazwa wenu!ulaaniwe wewe na lissu wako. kwani kabla bombardier kununuliwa hapakua na mali ya tanzania kushikwa na hiyo kampuni ya kingereza ama ni matokeo ya wapinga maendeleo kuhujumu juhudi za kuleta maendeleo za awamu ya tano.
Malienge ya mwenyekiti wako yamekuharibu mpaka kila kitu unaona ki makengeza makengeza broHivi mwenda wazimu akiwa anazungukazunguka Nyumba yako utalala?