Ngoja nisikilize wanavyokujibu maana umeuliza maswali kama wale vijana wa udomNi swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.
Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?
2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?
3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?
HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Acha porojo, lipa deni, LIPA DENI, LIPA DENI, LIPA DENINi swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.
Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?
2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?
3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?
HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.
Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?
2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?
3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?
HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Hoja ni kulipa deni, lipa deni!It dosn't matter. Jibu hoja kwa hoja
WATANZANIA(wanaojitambua na wasiojitambua). Tena, ninahisi, kama wewe ungekuwa na nyadhifa alizonazo Mh. Tundu, na tena ukawa na akili izo hizo ulizonazo sasa hivi; "UNGELALA USINGIZI", wala usingejisumbua na hali inayoendelea nchini. Great Thinker!!!Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.
Kuna maslahi matatu, kwa ufahamu na uchambuzi wa hotuba/mawasiliano yake na vyombo vya habari:
1) Maslahi ya kisiasa: kwamba njia mojawapo ya kuingia madarakani ni kuikosoa Serikali, kwa mbinu za kila aina, hata kama mwelekeo wake si kwa manufaa ya nchi! Ndio lengo lake?
2) Mslahi ya kitaifa: kwamba anayoyesema yana maslahi ya kitaifa, japo hatoi suluhisho la natatizo yaliyopo ya kitaifa, ni yapi! Je, ndiyo mwelekeo wake?
3) Maslahi binafsi: kwamba pamoja ya kuwa ni wakili kitaaluma, pia ni Mbunge na Rais TLS, nyadhifa hizo siyo tu ni kubwa kiuongozi na kiutawala Tanzania, hazifikii wadhifa wa M/kiti wa chama kikubwa cha kisiasa au hata Urais. Je, ndiyo mweleko wake?
HAKIKA USICHOKIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Sijui kwanini kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi kubwa awamu hii!Ni swali mimi najiuliza, na Watanzania wengine, labda wachache au wengi.