Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Naona akipaniki akiulizwa deni ni sh ngapi? Hizi nafasi za kupeana chini ya pichu ni hatari
 
Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
 
Magu ataichoka hii Nchi mwenyewe.
Kaja na Spidi kubwaa kuliko uwezo wa Nchi.

Anataka kwa miaka 5 tuwe kama marekani, hahaaha.

Mandege Makubwa, Ma reli na ma fly over ya ajabu wkt nchi haina umeme wa kutosha, maji, elim nk.?
Hata hhhala la taifa halina chakula cha dharula
 
Hapo nimekuelewa!
Hiyo sentensi nyekundu imebeba,maneno zaidi ya elfu kumi,baba anataka kununua vogue,wakati kipato kidogo,analazimisha,watoto wale viazi vitamu na chai bila sukari,ili adundulize,vogue ipatikane,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…