Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ivi hawaoni hata aibu walivyokanusha habari ya lissu na kutaka kumuua na sasa wameumbuka
 
Wagombea wapimwe vitu vyote mwilini.....afya za mwili mzima....ikiwemo akili na ubongo wake!! Kuna shida mahala fulani....


Ni kweli kabisa mkuu. Huwa nasema siku zote ukiangalia kwa makini sana interview ya dereva wa kampuni ambayo iko makini huwa serious kuliko mchakato wa kumpata rais ambaye sidhani hata kama huwa anakuwa interviewed. Kuwa na wajumbe wanaokusupport ili kupata uteuzi haimaanishi kwamba uko fit kwa ajili ya hiyo nafasi nyeti nchini. Tuna tatizo kubwa sana yatupasa tupate ufunguzi next time tusirudie makosa.
 
Hiyo sentensi nyekundu imebeba,maneno zaidi ya elfu kumi,baba anataka kununua vogue,wakati kipato kidogo,analazimisha,watoto wale viazi vitamu na chai bila sukari,ili adundulize,vogue ipatikane,
Na kubadilisha bush aliko akiwa kuwe town over night haja lu kama wale wadigo wa Duga wana dawa au hawana
 
Bwana TL limebainikaje? Msaliti kati yetu kwa maadui akawapa siri zetu akawashauri kisheria jinsi ya kufanikisha akawatonya kuwa ndege yetu iko mahali fulani wakaikamate.
 
Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
Kosa ni kumbambikia Tundu Lissu kosa lisilo lake na kutaka kuangamiza maisha yake bila hatia!!
 
ulaaniwe wewe na lissu wako. kwani kabla bombardier kununuliwa hapakua na mali ya tanzania kushikwa na hiyo kampuni ya kingereza ama ni matokeo ya wapinga maendeleo kuhujumu juhudi za kuleta maendeleo za awamu ya tano.
 
Wezi hamlali usiku mnene mnawaza jinsi ya kumkwamisha mteule wa Mungu.
Very satirical sio na humaanishi ulichokiandika kwani nafsi yako ipo huku ulikowaita wezi ilihali nawe ni mwizi kwani ni sehemu ya familia ya wezi.
 
Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
Jaribu kuutumia ubongo wako kwa just 10% tu angalau. Hivi vipaumbele vya nchi hii ni mascrepa ya mapangaboi? Hujiulizi ni % ngapi ya watanzania watazitumia na au kumudu gharama zake? Hizo pesa ni kwanini asijengee bwawa la kufulia umeme ili kila mwananchi autumie? Au ajenge zahanati kila kijiji tutibiwe humo.
Yaani hata sikuelewi kwa huo ubinafsi mlio nao kakikundi kadogo!
 
ulaaniwe wewe na lissu wako. kwani kabla bombardier kununuliwa hapakua na mali ya tanzania kushikwa na hiyo kampuni ya kingereza ama ni matokeo ya wapinga maendeleo kuhujumu juhudi za kuleta maendeleo za awamu ya tano.
Ndio maana mlishauriwa kuisoma mikataba na kukielewa kilichoandikwa humo badala ya kukurupuka kuivunja! Na unaowalaumu sio walioiandaa wala kushtaki! Muwe mnajiuliza kabla hamjaja kuutetea uzwazwa wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…