Uko sawa. Ethiopia inashirika la ndege kubwa sana standard ya dunia ya sasa Ethiopians Airways, wanaflyover zenu hizi, train ya kisasa, umeme megawatt zilizokwenda shule. Kama hujui maisha ya waethiopia ni sawa kabisa na maisha ya watanzania wanaoishi kuzunguka migodi ile ya dhahabu. Ndio njia tuendako jamaangu.Magu ataichoka hii Nchi mwenyewe.
Kaja na Spidi kubwaa kuliko uwezo wa Nchi.
Anataka kwa miaka 5 tuwe kama marekani, hahaaha.
Mandege Makubwa, Ma reli na ma fly over ya ajabu wkt nchi haina umeme wa kutosha, maji, elim nk.?
Hahaaa yeye ndio halali anafikiria kesho atakuja na comedy kuhadaa wajingaHuyu mtu an anawafanya msilale
wewe huna adabu. Lakini hatushangai huko kwenu kwani ata kuuwa binadamu wenzenu kwa tofauti za kisiasa hamjali. Nyinyi ndiyo sababu ya shida zote za watanzania na hatutolala mpaka tuwatoe it's a just a matter of time.Basi makengeza ya chairman ndo yanakufanya usilale
Kama kichaa cha mwenyekiti wako kinavyonifanya nisilaleBasi makengeza ya chairman ndo yanakufanya usilale
Wakati anaamua hana long term plan yeye ni kile anachoona inafaa ndo anafanya..Magu ataichoka hii Nchi mwenyewe.
Kaja na Spidi kubwaa kuliko uwezo wa Nchi.
Anataka kwa miaka 5 tuwe kama marekani, hahaaha.
Mandege Makubwa, Ma reli na ma fly over ya ajabu wkt nchi haina umeme wa kutosha, maji, elim nk.?
Laana Hiyo Hiyo Ikupate wewe Na Yule Mrimu na Valenge anayebomoa Nyumba Akiponda Mpaka Vyungu na Sahani, Alaaniwe na Amelaaniwa tena sana sio Kidogo.ulaaniwe wewe na lissu wako. kwani kabla bombardier kununuliwa hapakua na mali ya tanzania kushikwa na hiyo kampuni ya kingereza ama ni matokeo ya wapinga maendeleo kuhujumu juhudi za kuleta maendeleo za awamu ya tano.
Tatizo anaposhauri, hasa akiwa bungeni, watu wanamtazama katika kofia ya uanasiasa na kusahau kuwa ana kofia ya sheria ndani yake. So, people politicize everything he says, and look at us now!
Huyu dada nilianza kumuona kwenye press wakati yule msanii ROMA anaongea na waandishi wa habari baada ya kutoka mafichoni akiwa na waziri Mwakyembe huyu dada alizomewa baada ya kuonekana anapangua hoja kibabe nikataka kumfahamu zaidi nikagundua ni kaimu mkurugenzi habari maelezo na msemaji wa serikali, kwa sasa mh raisi ameshateua mkurugenzi wa habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali kwa hiyo huyu dada amekuwa mkurugenzi msaidizi wa habari maelezo na msemaji wa serikali msaidizi inasikitisha sana huyu dada anapopewa dhamana ya kuongea kwa niaba ya serikali kwa vitu ambavyo vina maslahi kwa taifa ambapo mara zote huishia kuzomewa na hupatwa na jazba ikiwa ni kiashiria dhahiri kuwa viatu alivyopewa hamtoshi. Tazama video ambatanishi kama moja ya mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ulizaliwa miezi isiyopungua 5 kabla ya kufika ile 9. akili zako hata kuku ana afadhali!Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Nahisi ulizaliwa miezi isiyopungua 5 kabla ya kufika ile 9. akili zako hata kuku ana afadhali!