Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Bora Mngenyamaza Tu bila kujibu, Aibu yenu sasa...utaratibu wa kutofuata sheria ndio huo..
 
Naona mnaogopa kumwambia aliyeisababishia serikali hasara wekeni wazi kwa nini ishikiliwe na kwa sababu gani na kosa gani sio kusingizia wanasiasa watanzania wa sasa tunajua kuchambua wekeni ukweli aliyetuletea hasara ata kama ni bosi sasa ajue kuwa hizi hasara tutazilipa Tu
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
 
Hivi hao wenye kuidai zimdabwe hawajui njia za kufuatilia dani lao mpak TL awaonyeshe njia mbona tumebinafsisha hata kufikiri kwetu kumbe ndio maana inatuchukua miaka 19+ kumuelewa TL HAYA NJIE KIMBIENI TU UKWELI
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo


Yawezekana una ubongo wenye jinsia mbili kiasi cha kukufanya ushindwe kufikiri sawa sawa na kukuacha kwenye dilemma!Hivi Lissu unayeng'ang'ania kumuhusisha na kukamatwa kwa hilo pangaboi lenu ndiye aliyesababisha hilo deni?

Acheni unafiki,msiwatwishe lawama watu wasiohusika na ukurupukaji wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…