Kujikwamua kwenye haya maisha ya kifisadi kuna gharama zake!Wamalize kwanza la makinikia hilo la ndege uzushi tu mbona samaki na meli yao walikaa kimya au hatukushindwa kesi?
Tunageuka taifa la ajabu tumekua tunafanya maauzi ya ajabu tumeshindwa kesi mara kadhaa na bado tunaendelea kuingia king kwenye makosa hayohayo ya kimikataba halafu tunasingizia wanasiasa wenye nia mbaya! SERIOUS???
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, kama serekali inahitaji cooperation kutoka vyama vya siasa kwa nini iwanyime uhuru wao wa kikatiba?Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570175
Wewe umejisajili this August kuja kutisha watu hapa? Post zako nyingi unajionyesha una mamlaka ya kuwanyima watu uhuru wao wa mawazo kinyume na JF regulations. Kaa chonjo utakula ban ya maisha, hapa sio mahali pa watu wa aina yako.Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Kigezo cha kujiunga JF kingebadiliswa na sio KUSOMA NA KUANDIKA tuu ili kulinda hadhi ya JF, hayo waachiwe kina Bashite. Sasa kama wewe hoja yako hii ina maana hata walichozungumza wengine hujakielewa?Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Noma kweli !Aliesema sifa ni ugonjwa hakukosea mlijalibu kulizima hilo jambo kimyakimya siri imefichuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hiyo panga boy ina mke anaitwa panga girl ndio wana mgogoro wa ndoa yao.....
Kwa nini umtangulize Zitto?
Ndiye aliyeanzisha hoja....Kwa nini umtangulize Zitto?