mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,070
- 3,792
visingizio vya ajabu haijawahi kutokea
Halafu??Tupige kura ya wazi na kutoa maoni yetu juu ya wanaoshirikiana na wahujumu wa uchumi.
Habari unayo wewe?Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Taifa lina madeni mengi sana ....kiasi kwamba mali zetu zikishikwa itakuwa ni hatari.Dawa ni kulipa deni Bombardier iachiwe kule Canada..
There's no short-cut..
Mungu Akulinde Tundu Lissu.
Toa aina ya adhabu stahikiTupige kura kati ya nani na nani,kati ya kipi na kipi???
[HASHTAG]#jingalao[/HASHTAG]
Tungekuwa tunaweka picha zetu hapa lazima sura yako ingeshabihiana na jina lakoTundu lisu ni yuda Iskarioti