Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.

"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa

Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.

Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.

Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.

Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.



View attachment 570220
View attachment 570219

Ningekuwa Mimi nigekaa kimya, ningejificha chooni na kujivutia ka sportsman kimyakimya kwenye kadirisha ka choo.
 
Ndege ya 3 ya serikali ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini serikali yao- Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari, Zamaradi Kawa
 
Sasa serikali jukumu lake ni kuwadhibiti hao wanasiasa wapumbavu wasio itakia mema inchi yetu na sio kulalamika kwa wananchi. Serikali haishindwi kufanya maamuzi magumu kwa watu wachache wanaotaka kutia doa uchumi wetu na taifa kwa ujumla. Serikali haitakiwi kuwavumilia au kuvuta subira kwa watu hawa ni hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swari, hawa wanasiasa wasingeibuka na kuhoji suala hili ninyi kama serikali Leo mngejitokeza kutupasha taarifa ya kukamatwa kwa ndege?
Endeleeni kutufanya vipofu tu [HASHTAG]#muda[/HASHTAG] mwingine kubalini makosa Maisha yaendelee
 
Na mkiagiza dream liner Barrick watakuwa wameshinda kesi.Tutaikamata na kuipiga mnada kupata malipo ya awali ya madai yetu.Baada ya hapo tutakamata mali zote za Tanzania zilizopo Canada Uingereza na Marekani. Hatutaki mzaha na ushenzi sisi

mkuu kumbe na wewe upo upande wa Accacia.. kuwa mzalendo kidogo... isije kuwa dua la kuku halimpati mwewe...
 
Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?

IMG_20170806_164506.jpg




Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
 
Tupige kura ya wazi na kutoa maoni yetu juu ya wanaoshirikiana na wahujumu wa uchumi.
mkuu, tuanze kuwaorodhesha kwanza. mimi naanza na hawa...

1. aliyeisababishia serekali hasara ya matirilioni kwa kukamata meli ya samaki

2. aliyeuza nyumba za serekali na kuwafanya watumishi waishi kama popo

3. kuna yule aliyenunua mtumbwi mbovu - ila nimesahau ulikuwa ni kwa ajili ya nini na sasa upo wapi?

4. ambaye sasa yupo kwenye mchakato wa kuiingiza nchi kwenye hasara nyingine ya matirilioni dhidi ya Acacia

5. aliyesababisha tukakope pesa benki baada ya MCC kunyofoa fungu lao kwa ajili ya ujeuri tu!

tuendelee...
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo

Miaka 8 ya Kikwete (baada ya Lowassa kijiuzulu) ilihaa hujuma kila kona na chanzo cha hujuma sasa kimehamia nyumba nyingine. Lissu anadhani watu hawajui kwamba yeye ni mbwa tu anabweka kwa maelekezo ya mwenye mbwa. Ni jambo la kusikitisha kuhujumu watu 50 ili mtu mmoja apate cheo.
 
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.

"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa

Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.

Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.

Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.

Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.



View attachment 570220
View attachment 570219

Serikali ilipe madeni yake. Iache kulalamikia wanasiasa wakati yenyewe hailipi madeni yake.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom