Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!

Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?

Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?

Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?

Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?

Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!

Pathetic!!

this is a very logical reasoning,

bora wangeendelea kukaa kimya kuliko kuja na majibu ya fedhea kiasi ichi
 
Tundu Lisu akiendelea hivi ipo siku atapata madhara kisiasa tena makubwa! Ni rahisi sana wanasiasa wenzake kumchafua kisiasa kuhusu ushirikiano wake na hawa mabepari

FB_IMG_1503138451816.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Hiv nyie watu mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?
Yaani mtu mmoja akurupuke then kutia hasara taifa lawama ziende kwa lissu, are you serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!

Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?

Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?

Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?

Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?

Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!

Pathetic!!
Inaelekea walitaka kulipa kimya kimyaaaa

Hao wanasiasa sijui ndio waliovuta...mpungu kwa mtu walipokua waziri wa ujenzi wakasitisha kinyemela ili tu kuwapa kazi watu wao wavute commission
Na kwa mtu tuliyenaye tutalipa sana fidia zake za huko nyuma na za sasa hadi vijukuu

Tusisingizie wanasiasa "maloFa"
 
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.

"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa

Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.

Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.

Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Kwenye hili jambo Haya ndio majibu ya serikali? Maana mpaka sasa hivi sijaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu mchakato umeingiliwa na watawala wanao tumia nguvu nyingi kuliko upeo....

Kwanini Rais Magufuli akikosea kunakuwa na kigugumizi cha yeye kuambiwa ukweli?..

Historia inamuelezea wazi Kuwa alinunua Boti chakavu..

Amesababisha hasara kwenye Samaki wa wachina baada ya kukamata ki dicteta Meli yao...

Hivyo hivyo kwa hili yeye sio mgeni kulisababishia hasara taifa.....

Hakuna cha visingizio kwa hili Lazima awajibike kwa watanzania na kuwaambia amewakosea kwa kukurupuka.
Na tutalipa sana bado na watumishi maelfu wanaoelekea mahakamani

Ukisikia hadi watu masikini ya Mungu wazalendo,wenye nidhamu,wavumilivu ,majasiri na wenye uchungu na nchi kama askari na wanausalama walianza...kunungumika kimya kimya...sasahivi hata wakiingia bar wanalalamika mbele ya raia wazi wazi....
Ujue its too much
 
Serikali ilipe madeni yake. Iache kulalamikia wanasiasa wakati yenyewe hailipi madeni yake.

Sent from my Kimulimuli
Kweli njia ya Muongo ni fupi 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu' Runing away from problems does not solve problems 'Any decision you make in Life You are Responsible for it'
 
Hiv nyie watu mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?
Yaani mtu mmoja akurupuke then kutia hasara taifa lawama ziende kwa lissu, are you serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa kumuambia halafu wanao sema ukweli ndio wana laumiwa. Kupoteza pesa za umma mnataka iwe siri kwa vile boss aliharibu?? Lumumba waache mambo ya aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sjaewa wanasiasa wanaingia vipi hapo alitakiwa afafanue kama ndo wao walio sababisha ndege kuzuiwa au
 
Na tutalipa sana bado na watumishi maelfu wanaoelekea mahakamani

Ukisikia hadi watu masikini ya Mungu wazalendo,wenye nidhamu,wavumilivu ,majasiri na wenye uchungu na nchi kama askari na wanausalama walianza...kunungumika kimya kimya...sasahivi hata wakiingia bar wanalalamika mbele ya raia wazi wazi....
Ujue its too much
Wahenga walisema, penye ukweli, uongo hujitenga.

Ujivuni, kukosa hekima, ubabe, kuongoza kwa vitisho, uonevu, upumbavu na vingine vinavyofanana na hivyo vilivyomo katika kiongozi wa nchi havijawahi kuiacha nchi salama.

Sent from my Kimulimuli
 
Aliyesababisha ilo deni kwa hulka ya maamuzi ya kukurupuka afikishwe mahakamani haraka sana kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuliingizia taifa hasara.

Maamuzi bila busara na hekima ili kufurahisha raia wasiojielewa yatagharimu nchi fidia nyingi.
 
Kweli njia ya Muongo ni fupi 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu' Runing away from problems does not solve problems 'Any decision you make in Life You are Responsible for it'
Kuna watu wa aina mbili duniani.

Wanaolioa madeni yao na wasiolipa madeni yao.

Kamwe sitaki kuwa kundi la pili.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom