Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Siongelei "kuchapia".

Tuwache kuteteana kijinga.

Haina maana kuandika Kingereza wakati haukiandiki vizuri.

Hata aandikae Kiswahili sivyo ndivyo huelezwa vilevile.

Hii kauli inanikumbusha kauli ya boss mmoja kwenye mkutano wa team, alisema:

'I dont care who speaks English with or without an accent; I dont care if you have grammatical errors: what I care is what you deliver to the team'. Mwisho wa kunukuu.
 

Mkuu salama.
Serikali imeshatoa tamko tayari aliye vunja mkataba ni shukuru kawambwa mwaka 2009. Na wamempa Lisu siku 7 aombe radhi na kufuta maneno yake. Tafuta hilo tamko.
 

Dogo hayo maswali kamuulize zamaradi kawawa alipoitisha press's kwanini hakufafanua lini mkatababa ulivunjwa na waziri wa wakati huo alikuwa ni nani?? badala yake Amelia lia tu ili tuwaonee huruma.

tunataka aliye tuingiza hasara awajibishwe ili mkome kudai 10% kwenye mikataba
 
Hakuna chama cha kuiondoa CCM kwa siasa hizi za CHADEMA za kutafuta kasoro kwa torch "Viva Magufuli" unastahili kuongezewa muda kama MZEE Mwinyi alivyosema
 
Ni kweli mkuu lakini kwa jinsi Tundu alivyokuwa anaongea as if mheshimiwa rais alikuwa waziri wa ujenzi wa kipindi hicho unavunjwa huo mkataba,kumbe mheshimiwa rais alikuwa waziri wa kilimo na wizara ilikuwa chini ya shukuru kawambwa.

Yaani Tundu ametokea kumchukia Mheshimiwa rais tu na sijui kwanini? maana kweli serikali walikuwa wakificha habari ya kukamatwa kwa bombadier lakini watakuwa na sababu. Ila Tundu alianza kumshutumu mheshimiwa rais alikurupuka kuvunja mkataba na iyo kampuni ya ujenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This guy should be punished: Aibu hii ataipeleka wapi Tundu Lissu kwa Kukurupuka
 
Neno la Mungu ni Moto ulao litumike kwa kusudi maalum.

Ubaya Wa propaganda uko katika maudhui tu si katika tasnia yenyewe.Propaganda katika kusema yanayojulikana kwa watu wote wanaosikia na kuona? Propaganda katika kujifunza kwa Kristu kwamba siku zote lengo kuu ndio dira.Propaganda kutafakari toka kwa Kristu kuwa Magufuli analinda chakula cha watoto?
 
Kwaiyo kwanza unakubaliana na mtoa mada kwamba iyo kampuni ya ujenzi alivunja mkataba sio JPM ni shukuru kawambwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubaliani naye, hata hiyo serikali katika taarifa yao hawajamtaja aliyeuvunja huo mkataba zaidi ya kusema mwaka 2009 waziri alikua Kawambwa wakishindwa kabisa kukumbuka au kielewa kuwa Lissu alisema mwaka 2009 ndiyo tulihukumiwa. Kajipangani upya
 


CCM sio sayari ya Jupiter.CCM haina wanadamu kutoka Mars.CCM ipi? Unaongelea CCM ya watu wanaotokana na familia zetu? CCM ya nani? CCM ya kujua kutoa lawama tu bila kuchukua hatua? CCM ya kuwalea watoto na kuwaachia kuiba kwenye vyumba vya mboga nyumbani na wakikomaa wanaliibia Taida?
 
Hilo kanusho ni fake.
Serikali imesema haihusiki na huyo Abbas yuko likizo.
Huenda wamegundua kwa utetezi huo wataumbuka zaidi maana facts ziko tofauti.
Mkuu salama.
Serikali imeshatoa tamko tayari aliye vunja mkataba ni shukuru kawambwa mwaka 2009. Na wamempa Lisu siku 7 aombe radhi na kufuta maneno yake. Tafuta hilo tamko.
 
Kama Tundu Lissu anaweza kuwashawishi 'wazungu' wakamate ndege yetu (according to GOT mingling—Perceptions), Basi huyu kiumbe atakuwa ana brain nzuri sana, sawa na Mwalimu Nyerere alivyowashawishi wazungu kwenye suala la uhuru..., hivyo tusioneane 'wivu' na 'husda' hapa[emoji2]

Kesi ya ndege tulishashindwa kitambo na hakuna 'room' ya kukata rufaa tena..., sio kesi ya leo, maamuzi yalitolewa tangu 2009.., wakati tunashindwa kesi, deni lilitakiwa kulipwa ni Kama 40 billions tu na sasa riba imeongezeka kwa 50 billion (kwa miaka 8)..., sasa nikueleze.., Kama Lissu kweli 'kawa—push' jamaa watudai leo, na sio baada ya miaka 15 ambapo lingefika bilioni 200, kafanya kilicho chema kabisa. Deni hili lingekuja kuwa Kubwa Sana kwa riba..., basi bado ni "Genius".., tumpe heko.., kama kwa miaka 8 imeongezeka 50bn.., vipi kwa miaka 20!? Au mnaona vipi, ninyi "Wazalendo" [emoji23]

On this matter, "mhusika".., has to pay the price.., acheni "kuzunguruka" hapa..., mkataba mlivunja wenyewe, mkamfukuza mwekezaji wenyewe, wakafungua kesi, wakashinda, mkakata rufaa, wakashinda tena.., na wazungu wameshinda kesi since 2009 deni likiwa 40bn.., mmepiga kimya hadi limefika 90bn ndio mnatao milio hapa ya "Lissu, Lissu, Lissu" hapa..,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu lakini Tundu alimtupia lawama mheshimiwa rais kama yeye ndio alivunja mkataba na iyo kampuni ya ujenzi wakati kipindi icho mheshimiwa rais alikuwa waziri wa kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…