Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Serikali ikiongelea wanasiasa wasiotakia mema nchi, inamwongelea kiongozi wao. Alikuwa ndani ya serikali kwa kipindi kirefu tu, inakuwa aje hajui uwepo wa deni na masharti yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo aliwanyang'anya in advance? Yaan kipindi Cha mkapa kiliisha 2005 , wakanyang'anywa 2009 wapi Na wapi
Tatizo watu wa Lumumba thinking yenu in ZERO, Mnachojua ni KUTETEA TU....TL was very smart wakati wa Press Conference. Likija lile la Meli ya Samaki mtasema hakuwa waziri alikuwa ni PS wa wizara ya Ujenzi

Delle Alli
 
Bongo Celebrity

Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:


2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.

2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).

2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
Bongo Celebrity

Weka na ya Lissu.
 
Jamani kuvunjwa kandarasi kama hii ni lazima baraza la mawaziri likae, za kuambiwa changanya na zako!!!
 
Lakini si watu wameelewa na ndiyo maana wanaendelea kuchangia. Watanzania wengi mna matatizo sana wakati wowote mpo kuangalia makosa tu. Mungu naona kawalaani Watanzania labda.
Kwanini unamtaja Mungu kwa mambo ya kijinga? Mtaje shetani kuwa kawaloga nyie msietaka watanzania tujue chochote.
 
loh! Mbona hujampasukia Yesu kutumia neno mbwa katika neno la Mungu? Mbona hujampsukia Yesu (ewe mtu wa rohoni) kwa nini yule mama alikuwa katika mtanziko mkubwa wa kisaikolojia juu ya mateso ya mwanae lakini badala yake anamwambia yule mama "mbwa watashiba baada ya watoto"? Basi,kama huwezi kumpasukia Yesu "mwasisi" Wa neno hilo mbona unanipasukia Mimi? Lipi jipya toka kwangu ambalo Yesu hakusema?

Ewe,msoma Maandiko Matakatifu bila kuwa na macho umeshindwa kuona "maandishi vizuri" katika post hii lakini je,hata sauti za kinachoendelea juu ya uonevu wa "mbwa Wa nje" dhidi yetu na sarakasi wanazotumia juu ili kufukamia chakula chetu nazo umeshindwa kuzisikia?
Mbona huwahoji waliosababisha haya? Unatumia vifungu vya biblia kuhalalisha ukurupukaji Wa viongozi? Si ungetafuta kitabu kingine cha kutumia kuliko biblia takatifu?

ACHA nikae KIMYA...!
 
Mod 2 , Bridger n.k kuna Uzi wa Okwi Boban Sunzu mmeufuta. Uzi huo umeambatanisha barua kutoka maelezo ambapo inaonekana maneno ya mtoa mada yametoka kwenye barua hiyo. Hivyo nadhani mtoa mada ni muhusika kwa namna moja au nyingine katika kutengeneza barua hiyo. Uzi huu UFUTWE.

Moderator
 
Ccm ndiyo tatizo sasa maombi hayo yaelekezwe kuitoa ccm madarakani
Kwangu mimi naona ni upuuzi mtu kuwa shabiki wa Chama cha siasa au kuwa na chuki na Chama cha siasa ukiwa mtu wa namna hii ina maana hata akisimamishwa mgombea mwenye sifa utamkataa kisa tu ni wa Chama fulani au akitokea mgombea asiye na sifa utamkubali kisa wa Chama chako...
 
Back
Top Bottom